Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Andiko murua sana kwa sisi vijana, ubarikiwe 🙏🙏🙏.
 
Uko kwenye kipindi cha kuingia ukubwani, kwahiyo akili ya kiutu uzima inafunguka, hii hali huja na side effects kama za mama mjamzito. Hasira za ghafla, kukata tamaa, kulia au kutamani kulia, kuzira, kujitenga, kuwa mtu wa mawazo muda mwingi ni vitu visivyoepukika.

Hapa ndipo unapojishape kuwa wewe wa kesho, kwahiyo jitahidi sana yanapokutokea haya usiyaendekeze, vijana wengi huwin na kushindwa hapa. Ukiyapuuza na kusonga mbele mafanikio yako yataanzia hapo, utayachukulia kuwa ndio sehemu ya maisha yako, kushindwa kwako kutaanzia hapo.
 
Kila nikiwa na mawazo, hofu hisia za chuki .. juu yangu binafsi nikijiona sifai ... Huwa ninakuja hapa kujisomea kujiliwaza .. kujipa matumaini niweze kusonga mbele ...

Your legacy will live forever brother
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji1548][emoji1545][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am here again 26 years old kama Mike Posner I made a Million dollar and spend it on a girl shoes ,

Not a million exactly , it was like 7m and I lost em .. damn me ..

Still grinding, Niko ma stress kama mama mjamzito damn me
 
I am here again 26 years old kama Mike Posner I made a Million dollar and spend it on a girl shoes ,

Not a million exactly , it was like 7m and I lost em .. damn me ..

Still grinding, Niko ma stress kama mama mjamzito damn me
*girls and shoes.

hela hata iwe nyingi vipi itaisha tu, cha muhimu ni kuwa na vitega uchumi kuhakikisha flow ya kutumia inaendana na hela inayoingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…