Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Kaka Mshana, kama nakumbuka vizuri, nadhani uliahidi utatuletea part 2.
Tupe madini Chief.
Ilikuja kama post kamili

 
"Nahisi kwa kizazi chetu cha Social media ni muhimu Wazazi na walezi kuwakumbusha vijana wao, it is okay kuchelewa kupata vitu flani, it is okay to struggle sometimes, it takes time to built up something, vipaumbele vinatofautiana.
Vijana comparisons zinawavuruga afya za akili"

From Twitter
 
Back
Top Bottom