Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Huu uzi ndugu mshana ni kati ya nyuzi zako ya viwango vya SGR
Yan jamaa alizungumza kila k2 ..n suala la kufuatilia sasa.Yan alichoongea hukipati kokote zaidi Huyu jamaa Mshana jr n hazina ya taifa .Nizidi tu kusema huyu braza ndio miongon mwa watu walionifanya nijiunge humu JF. God bless u ,God bless JF
 
[emoji1548][emoji1534][emoji1545][emoji1545]
 
Wapare kwenye ubora wao, ushauri mzuri sana ingawa sisi wengine kama tumechelewa kimtindo

Vijana chukueni ushauri wa bure muende muupeleke huko fb walipo vichwa ngumu wasiopenda kusikia
 
Utu uzima dawa! Mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache, kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika). Naongelea mabadiliko ya makuzi kihomoni, kimtazamo, kimahusiano na kifikra pia.

Kwanza lazima niwapongeze kwa uamuzi wenu wa hiari wa kuachana au kutoka kwenye mitandao mingine isiyo na faida wala tija na kuja kujiunga JF(JamiiForums) penye kisima cha maarifa, ujuzi na hata ushauri.

Niwapongeze pia wengi wenu kwa kuwa wawazi kwa yale mnayopitia, wengi wenu hamfahamu kuwa ni sehemu ya makuzi hivyo kujaa hofu na woga mwingi hasa kwenye maeneo haya;

1. Haiba - hapa kila mmoja anajitahidi awezavyo ili aonekane wa kisasa kwa mavazi lugha na hata mikogo mingineyo, kukosa baadhi ya hivyo vitu husababisha maumivu makubwa sana bila kutambua kuwa wakati wako wa kupata bado

2. Ukakamavu/confidence ya kuongea na hadhira au jinsia tofauti, hapa ni kimbembe, wengi hujichukia na kujistukia na hivyo kusababisha kujitenga na jamii muda mwingi kwa kudhani wengine wanajiona bora au ni mahiri kuliko wao! Hiki ni kipindi tu na kitapita lakini siri ya kuongea na hadhira ni kutowaangalia watu machoni bali kuwaangalia juu ya macho yao kwenye paji la uso.

3. Mahusiano kipengele hiki ni muhimu sana na hapa namaanisha kwenye ishu nzima ya kufanya mapenzi. Asikudanganye mtu, mapenzi utayajua baada ya kuvuka miaka 30, hapo utakuwa umewazoea na kuwafahamu wanawake na utakuwa huna hofu tena. wengi sana hapa wanalalamika kukosa nguvu au kumaliza haraka hii yote inaletwa na hofu na mara nyingi kudate mpenzi ambaye tayari keshakutana na wataalam, usitegemee kamwe katika miaka yako 26 umridhishe mwanamke wa 18-23 atakuwa anakuibia tuu.

2f86b25967a46f4e7000116a585bef02.jpg

Mabinti wengi below 25 wapenzi wao ni 35+years. Hapo huwezi weka ligi.
Kinachowatisha wengi ni story za wanawake kufikishwa kileleni au kupiga show 30 nonstop wakati wewe dak5 nyingi. Usihofu, muda wako bado, wewe bado mchanga hujakomaa.

Lakini vile vile kuna wakati maungo yako huhitaji mapumziko. Hii hutokea yenyewe automatically, ndio maana kuna wakati unakuwa na ashiki sana na kuna wakati unakuwa kama hanithi. Usitishike, jitahidi mazoezi, epuka vyakula vya mafuta na makopo, jizuie kadiri uwezavyo kupiga punyeto labda mpaka uzidiwe sana.

7a426246fd98a6d03e3c266e7e110d6a.jpg

4. Uko kwenye kipindi cha kuingia ukubwani, kwahiyo akili ya kiutu uzima inafunguka, hii hali huja na side effects kama za mama mjamzito. Hasira za ghafla, kukata tamaa, kulia au kutamani kulia, kuzira, kujitenga, kuwa mtu wa mawazo muda mwingi ni vitu visivyoepukika.

Hapa ndipo unapojishape kuwa wewe wa kesho, kwahiyo jitahidi sana yanapokutokea haya usiyaendekeze, vijana wengi huwin na kushindwa hapa. Ukiyapuuza na kusonga mbele mafanikio yako yataanzia hapo, utayachukulia kuwa ndio sehemu ya maisha yako, kushindwa kwako kutaanzia hapo.

Kama bado uko below 30 usiangalie mwili ulionao bali jipange kwa kuwa hii ndio hatua muhimu ya kuwa wewe wa kesho. Mustakabali wako umeubeba mwenyewe.

decdd0ee21928acc5bbf4b8eefe0b405.gif
Kaka ahsante kwa ushauri wako,,, lakini kiukweli ni kwanini vijana wa jinsia zote wanakuwa na Tamaa yaani hawardhiki na mwanamke au mwanaume mmoja

Ahsante sana kaka kwa ushauri Wako,,🙏🙏🙏🙏
Lakini ni kwanini vijana wengi wa jinsia zote wanakuwa na tamaa yaani wanakuwa na wapenzi zaidi ya mmoja Lakini katika hao yupo anaempenda zaidi...🤔🤔🤔
 
Kaka ahsante kwa ushauri wako,,, lakini kiukweli ni kwanini vijana wa jinsia zote wanakuwa na Tamaa yaani hawardhiki na mwanamke au mwanaume mmoja

Ahsante sana kaka kwa ushauri Wako,,[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Lakini ni kwanini vijana wengi wa jinsia zote wanakuwa na tamaa yaani wanakuwa na wapenzi zaidi ya mmoja Lakini katika hao yupo anaempenda zaidi...[emoji848][emoji848][emoji848]
Bado wanatafuta ladha ...ni kipindi tu umri ukisonga watatulizana baada ya kigundua kumbe nyama ni ile ile tuu
 
Back
Top Bottom