Military Genius
JF-Expert Member
- Mar 3, 2019
- 761
- 1,464
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]mkifeli niwafanyeje?
Jr[emoji769]
Imekaa poa hiiPamoja na yote hayo lakini hatukuambizana kitu kimoja muhimu sana kama kuna yeyote mwenye tatizo la kweli la weak erection na premature ejeculation
Hii kitu ni kama rehab na inasaidia magonjwa mengi sana ...ukiingia JF doctor utaipata lakini kwakuwa najua si wote wanaofika kule nimeona ninyofoe kipande nilete huku
Nunua asali halisi lita moja
Nusu kilo ya vitunguu saumu
Na ndimu za kutosha
Changanya vijiko visivyozidi vitano kwenye maji robo lita na kijiko kimoja kikubwa cha kitunguu saumu kilichosagwa na nusu kipande cha ndimu kisha kunywa
Waweza kunywa mara mbili au moja kwa siku...hii ni rehab kwa hiyo haina ukomo wa dozi unaweza kuendelea kwa muda mrefu lakini kwa kupunguza kipimo
Ni msaada mkubwa sana kwenye kutanua misuli na mishipa iliyosinyaa au dhaifu hivyo kurahisisha damu kupita kwa uhuru na hewa ya kutosha
Perception creates reality...uwazalo huwaMimi hapa kwa kuongezea kidogo mindset ndo mchawi mkubwa hapa. Yaan ukiwa na mindset ya kwamba mimi ni mbaya kwa mfano, utaanza tu automatically kufanya vitu vitakavyokufanya uwe mbaya kweli ili mradi theory yako uliyojiwekea mimi mbaya iwe proved. Au ukasema mimi mademu wazuri siwezi kuwatongoza itakuwa hivyo hivyo utaanza kujitenga nao automatically ili theory yako au maneno yako yatimia. Kama ilivyo maneno yanaumba na pia theories na principles kama sijakosea zimewekwa ili ziwe proved. Always speak good about yourself and the universe will bring good news and good things to you.