Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Asante mkuu ila no.1 haiba(personality) unaweza kuelezea zaidi maana ndipo penye mzizi hapa
Hapa ni kipindi ambapo kijana anaanza kujitambua na angependa ajinasibu na kaliba ya watu tofauti..akipenda aonekane naye ni mtu katika watu (hii huendelea mpaka ukubwani)
Ni kipindi hiki anapoanza kuvutiwa na hisia nyingi za mapenzi na ikitokea akampata mpenzi utaona mabadiliko makubwa sana
Zamani aliweza kutoka vyovyote vile lakini sasa ataoga atajipodoa atachagua nguo nzuri na safi... (mitindo mpya ya nguo nywele viatu na mapambo vinahusika sana hapa )pata picha kama akikosa chochote atajisikiaje!
 
Pamoja na yote hayo lakini hatukuambizana kitu kimoja muhimu sana kama kuna yeyote mwenye tatizo la kweli la weak erection na premature ejeculation
Hii kitu ni kama rehab na inasaidia magonjwa mengi sana ...ukiingia JF doctor utaipata lakini kwakuwa najua si wote wanaofika kule nimeona ninyofoe kipande nilete huku
Nunua asali halisi lita moja
Nusu kilo ya vitunguu saumu
Na ndimu za kutosha
Changanya vijiko visivyozidi vitano kwenye maji robo lita na kijiko kimoja kikubwa cha kitunguu saumu kilichosagwa na nusu kipande cha ndimu kisha kunywa
Waweza kunywa mara mbili au moja kwa siku...hii ni rehab kwa hiyo haina ukomo wa dozi unaweza kuendelea kwa muda mrefu lakini kwa kupunguza kipimo
Ni msaada mkubwa sana kwenye kutanua misuli na mishipa iliyosinyaa au dhaifu hivyo kurahisisha damu kupita kwa uhuru na hewa ya kutosha
 
Samahani! Mkuu nishibishe vyema kuhusu huo mchanganyiko! Asali naweka kiasi gani?
 
Broo nakukubali sana!!asnte kwa mushauri mkuu!!barikiwa sana baba!!
 
Hata mtu akiwa na utaratib wa kuchanganya vitunguu saum kwenye chakula/mboga huwa inasaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…