Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

kaka ila hiyo ya punyeto Mimi. siikubali aseeee. bora kukaa. hivyo hivyo without doing any stupid event
 
kaka ila hiyo ya punyeto Mimi. siikubali aseeee. bora kukaa. hivyo hivyo without doing any stupid event
Sio stupid thing ni ugonjwa ni hulka ni ulevi ni mazoea mabaya kuna watu wako kwenye ndoa wameshindwa kabisa kuacha...mshukuru sana Mungu kama hufanyi
 
Nimeipenda kaka thanks for that nimejifunza kitu
 
kumbe asali na ndimu sio sumu[emoji15]
Hapana na Inategemea unatumiaje usilambe robo lita nzima ya asali kisha ukaanza kufyonza ndimu zako ukafikiri utabaki salama
 
Mkuu niko na swali

Mi niko na 25yrs kwa sasa.sina matatizo yeyote panapo 6*6 (Wengi hunipa mrejesho huo)

Napenda Sana kufanya mazoezi (Gym).Bda ya kupima HIV na kujikuta niko - nilichagua maisha ya kufanya mazoezi na kutokujihusisha kabisa na kitu kinachoitwa NGONO.Kweli nimefanikiwa tena kwa 100%

Siku hizi sina hisia tena kwa wanawake,asubuhi na jioni hufanya mazoezi,so nachoka Sana,mawazo ya kimapenzi sina kabisa.

JE?NI NINI IMPACT YAKE HII, JE INAWEZA NISABABISHIA MADHARA UKO MBELENI AMA VIPI
 
Usijitese sana na mazoezi kwakuwa mwisho wa siku utahitaji kuwa na familia... dhara moja kubwa linaloweza kukupata ni kule kuua kabisa hisia za mapenzi(sio uhanithi) hiyo inaweza kuwa mateso makubwa kwa mkeo
 
Asante kwa ushauri mkuu..
 
Asanteh sana brother mshana jr:
Maneno ya hekima na yenye kujenga mimi nimgeni humu kama miezi miwil nafutailia thread zako naamini jamii in a hitaji Watu kama nyie much love to you [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…