Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #201
Asante sanaUmenigusa kaka,sijui baba au babu unaweza kuwa kwangu.ndugu mshana jr na nyuzi zako nying nazisoma sana na kujifunza.kwa huu wa leo umeongelea kitu na umri ambao naupitia na vitu vinanisumbuaga sana ni ivo ulivyovitaja kam confidence,mahusiano na kukata tamaa.kuanzia leo i will be brave and look forward up to my age of 30's years.thanksss