Mkulima Wa leo
Member
- Nov 9, 2019
- 11
- 11
Naanza kidogokidogo kwa soko LA mtaani. Kwa maana kulima kwa scale ndogo. Misha nitakuwa natafuta fursa nyingine.Soko unalo?
Sanctus Mtsimbe Pitia hapa kuna ndugu anahitaji elimuWanajamii Niko mikoa ya nyanda za juu kusini.
Nashukuru sana kwa watu wanaochangia elimu kwa jamii kupitia jukwaa hili. Ninalo shamba ambalo sijaliendeleza ekari NNE. Ninapenda kufanya kilimo cha tija. Naomba kwa ambaye ana uzoefu Wa green house na gharama zake anisaidie
Ingia gogo uwatafute vijana wanajiita SUGECO utapata elimu ya greenhouse mpaka utafurahi mwenyewe!Wanajamii Niko mikoa ya nyanda za juu kusini.
Nashukuru sana kwa watu wanaochangia elimu kwa jamii kupitia jukwaa hili. Ninalo shamba ambalo sijaliendeleza ekari NNE. Ninapenda kufanya kilimo cha tija. Naomba kwa ambaye ana uzoefu Wa green house na gharama zake anisaidie
Advantage kwa maana ipi mkuu? , maana bidhaa zinazotokana na greenhouse zinaonekana kuwa na ubora kuliko hizi za open fieldGreen House sio za kukimbilia kama huna Soko la unacho zalisha.
Bado Oppeni Field ndo Kilimo kikibwa Dunia nzima. Oppeni field ndo kilimo kinacho pendelewa na watu wengi Duniani na sio green house.
Green house labda ulime special crop kama kule Arusha wanavyo lima Maua ambayo hayapatani na mvua kabisa. Pia lazima Market iwepo la sivyo ukilima kwenye green house na kwenda kuuza sokoni sawa na wa Oppen field basi wale wa Oppeni watakuwa na Advantage zidi yako
Advantage kwa maana ipi mkuu? , maana bidhaa zinazotokana na greenhouse zinaonekana kuwa na ubora kuliko hizi za open field
Kuna mzee alikua NSSF moro..alilima nyanya za GH akawa anauza aghali..nan wa kununua nyanha sado 12000na hukusado hyo hyo ni 5000?!nyanya nzuri tu!..aliishia kuuza bei ya mawenzi sokonkAdvantage kwa maana ipi mkuu? , maana bidhaa zinazotokana na greenhouse zinaonekana kuwa na ubora kuliko hizi za open field
GH Imeletea hasara sana wakulima!zimedodaUbora upi? Atakuwa alimainisha gharama nazani