Naomba kupata elimu kuhusu greenhouse

Naomba kupata elimu kuhusu greenhouse

Joined
Nov 9, 2019
Posts
11
Reaction score
11
Wanajamii Niko mikoa ya nyanda za juu kusini.
Nashukuru sana kwa watu wanaochangia elimu kwa jamii kupitia jukwaa hili. Ninalo shamba ambalo sijaliendeleza ekari NNE. Ninapenda kufanya kilimo cha tija. Naomba kwa ambaye ana uzoefu Wa green house na gharama zake anisaidie
 
Wakati unasubiri mwongozo, pitia google/youtube am sure utapata mwangaza japo kidogo
 
Wanajamii Niko mikoa ya nyanda za juu kusini.
Nashukuru sana kwa watu wanaochangia elimu kwa jamii kupitia jukwaa hili. Ninalo shamba ambalo sijaliendeleza ekari NNE. Ninapenda kufanya kilimo cha tija. Naomba kwa ambaye ana uzoefu Wa green house na gharama zake anisaidie
Ingia gogo uwatafute vijana wanajiita SUGECO utapata elimu ya greenhouse mpaka utafurahi mwenyewe!
 
Iringa pale kuna mwamba kainvest kwenye hiyo kitu takribani 25 hivi na green house moja ukubwa wake ni zaidi ya darasa la sec. waweza mcheki ujifunze
 
Green House sio za kukimbilia kama huna Soko la unacho zalisha.

Bado Oppeni Field ndo Kilimo kikibwa Dunia nzima. Oppeni field ndo kilimo kinacho pendelewa na watu wengi Duniani na sio green house.

Green house labda ulime special crop kama kule Arusha wanavyo lima Maua ambayo hayapatani na mvua kabisa. Pia lazima Market iwepo la sivyo ukilima kwenye green house na kwenda kuuza sokoni sawa na wa Oppen field basi wale wa Oppeni watakuwa na Advantage zidi yako
 
Advantage kwa maana ipi mkuu? , maana bidhaa zinazotokana na greenhouse zinaonekana kuwa na ubora kuliko hizi za open field
 
Ubora upi? Atakuwa alimainisha gharama nazani
Advantage kwa maana ipi mkuu? , maana bidhaa zinazotokana na greenhouse zinaonekana kuwa na ubora kuliko hizi za open field
 
Advantage kwa maana ipi mkuu? , maana bidhaa zinazotokana na greenhouse zinaonekana kuwa na ubora kuliko hizi za open field
Kuna mzee alikua NSSF moro..alilima nyanya za GH akawa anauza aghali..nan wa kununua nyanha sado 12000na hukusado hyo hyo ni 5000?!nyanya nzuri tu!..aliishia kuuza bei ya mawenzi sokonk
 
Back
Top Bottom