D
DeletedMember281674
Guest
Nipo Dodoma, dhamana yangu kubwa ni makazi kumaanisha nina nyumba... ila sion kama kuna haja ya kukabidhi hati yangu ya nyumba kwa mtu ili anipe Gari ambayo tutakubakiana abaki na Kadi au abaki navyo vyote hadi nitakapomaliza malipo kulingana na makubaliano.
Pia sihitaji Gari ya bei kubwa wala sihitaji Gari First Hand, maana najua galama zake ni kubwa,
ama headng inavyosomeka nahitaj gari used ambao atleast iko vzuri inaweza kuw namb D au C kimsingi iwe gari Affordable na low fuel consumption. Ikipatika Ist, premio, wish, Raum, porte, Vits, Passo, suzuki expresso, starlet, etc kimsingi iwe Gari ya bei nafuu its Ok
Sawa nimeshakupa maelekezo. Ingia Terra Motors au Mirry Motors au Bingwa Magari Used katika Instagram account zao, wameingia mikataba na micro finance ambazo zina ofisi pia kama matawi Mikoani kama Dodoma na kwingineko.
Watamaliza tatizo lako