Naomba kupata utaratibu wa hili kutoka Latra

Naomba kupata utaratibu wa hili kutoka Latra

kwe2tu

Senior Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
140
Reaction score
230
Samahani waungwana mimi ni dereva bolt nipo Mwanza lkn ninasiku km 30 sijaingi mzigo kwani document yangu moja ya Latra sina. Kwahiyo account imefungwa.

Nilitamani kupata uzoefu kidogo kwa ambae amewahi kulipia na akapata latra anisaidie namna wanavyoipata ili hatimae niingie mzigoni maana mtaanj hali ni mbaya.

Lkn kitu kingine kibaya zaidi ni kwamba naogopa kwenda mimi kutafuta hii document ya latra kwakuwa lessening yangù sio ya kuendesha gari za abiria

Kwahiyo nilikuwa naomba kwaanae fahamu namna ya kufanya ili account ifunguke anicheki pm tuongee ili nimpe ya chai anisaidie au km kuna mtu naweza kumpa pesa anisaidie kukata hiyo latra nitafurahi zaidi.
Ni mimi

Hata kesho ni siku
Dereva wa bolt
 
FB_IMG_1751346203349.jpg

Tuhadithie bloh
 
Back
Top Bottom