Naomba kupewa elimu kuhusu tatizo la ingrown nails

Ongezea hapa vifaa vya kukatia kucha hasa nyembe huwa na bacteria wabaya wa kuharibu ngozi ya kucha
Sterilize your nail cutter and other tools na utumie peke yako

Kwa tatizo la muhusika inabidi wakazitoe hizo kucha wampake dawa na azingatie usafi atapona na zitaota upya
 
Una vidole visafi na kucha zake..usafi wa mtu huanzia kwenye kucha
Thank you. Kwa mtu anaekua na kucha za hivi lazima ajitahidi sana kuwa msafi maana ukizisahau unaeza kupata infection mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…