Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Ongezea hapa vifaa vya kukatia kucha hasa nyembe huwa na bacteria wabaya wa kuharibu ngozi ya kuchaTatizo:
Ni pale ukucha unapoingia kwenye upande wa nyama au ngozi ya kidole husika.
Visababishi:
1: Ukataji mbaya wa kucha
2: Ukataji usiofaa wa kona za kucha
3: Ajali inayohusisha kucha
4: Viatu vinavyobana(kwa muguu).
5: Maumbile yasiyovyema ya kucha
Tiba:
Hutegemea na kiasi cha tatizo
1: Kuondoa nusu au sehemu ya ukucha
2: Kuondoa ukucha mzima
3: Kutumia antibiotics kabla au baada ya upasuaji kulingana na hali halisi
4: Kuzuia visababishi hapo juu kwa vinavyoepukika
NB: Uondoaji ukucha huusisha kupewa dawa ya ganzi/usisikie maumivu.
Sterilize your nail cutter and other tools na utumie peke yako
Kwa tatizo la muhusika inabidi wakazitoe hizo kucha wampake dawa na azingatie usafi atapona na zitaota upya