Ganda Mweri
JF-Expert Member
- Mar 8, 2018
- 303
- 887
Hivi Mo ana mipango gani endelevu ya kukuza vipaji vya wachezaji?Mkuu, kwa taarifa nilizo nazo ni kwamba Ambokile na Singano wapo Mazembe lakini Tp Mazembe wana timu nyingine ambayo si hii tuijuayo bali ile ni kama chimbo la kufua wachezaji, wanachofanya ni kuchukua wachezaji wenye vipaji kutoka pote Africa hii na kuwafua huko, mchezaji akionyesha uwezo anakuja Mazembe tuijuayo so wapo huko wanapambana,
those guys wanahisi wanaweza pata Sammata mwingine from Tanzania ndo maana walimtaka hata Ajibu ...pia ulimwengu yupo kule..Katumbi amekuwa kipenzi cha watanzania anaamini kuna kitu.
Pia Samatta na Ulimwengu walionyesha nidhamu ya hali ya juu sana ukiachana na vipaji vyao...tukijitahidi watanzania Mazembe ni nyumbani...walio tangulia wametuwalisha vyema.
Ni hayo tu nijuayo though I stand to be corrected.
Mara ya mwisho nakumbuka baada ya Simba kupokea kichapo kutoka kwa Mtibwa kwenye fainali ya Mapinduzi...Mo alisema ata deal na mkataba wake tu ambao pia ilikua ni kuendeleza vipaji vya vijana wadogo but naona kimya mpaka sasa...nadhani itakuwa busara kama tukisubiri mchakato wa uwekezaji ukamilike kisha tuhoji kuhusiana na suala hilo ,lakini nina uhakika lipo kwenye mikakati ya Simba(Mo)Hivi Mo ana mipango gani endelevu ya kukuza vipaji vya wachezaji?
Kazi ya kukuza vipaji vya wachezaji siyo ya Mo pekee yake. Hilo ni jukumu la kila Mtanzania mpenda soccer na taifa kwa ujumla.Hivi Mo ana mipango gani endelevu ya kukuza vipaji vya wachezaji?
Hivi Mo ana mipango gani endelevu ya kukuza vipaji vya wachezaji?
Singano yupo nkana rangers ya zqmbia kwa mkopo, ambokile sijui.Mkuu...kwa taarifa nilizo nazo ni kwamba Ambokile na Singano wapo Mazembe lakini Tp Mazembe wana timu nyingine ambayo si hii tuijuayo bali ile ni kama chimbo la kufua wachezaji,wanachofanya ni kuchukua wachezaji wenye vipaji kutoka pote Africa hii na kuwafua huko,mchezaji akionyesha uwezo anakuja Mazembe tuijuayo so wapo huko wanapambana,those guys wanahisi wanaweza pata Sammata mwingine from Tanzania...ndo maana walimtaka hata Ajibu ...pia ulimwengu yupo kule..Katumbi amekuwa kipenzi cha watanzania anaamini kuna kitu,pia Sammata na Ulimwengu walionyesha nidhamu ya hali ya juu sana ukiachana na vipaji vyao...tukijitahidi watanzania Mazembe ni nyumbani...walio tangulia wametuwalisha vyema.
Ni hayo tu nijuayo though I stand to be corrected.
Ooh! sikujua hilo...asante kwa taarifa. Sijawafuatilia muda hao watu.Singano yupo nkana rangers ya zqmbia kwa mkopo,ambokile sijui