Naomba kupewa taarifa za Eliud Ambokile

Naomba kupewa taarifa za Eliud Ambokile

Ganda Mweri

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2018
Posts
303
Reaction score
887
Kwema wadau? Naomba kuuliza mwenye taarifa za huyu Mtanzania mwenzetu Eliud Ambokile, je bado yupo pale TP mazembe? Au alishatemwa, au kuna timu yupo kwa mkopo.

Nina siku nyingi sijasikia taarifa zake, ninatanguliza shukran wakuu.
 
Mkuu, kwa taarifa nilizo nazo ni kwamba Ambokile na Singano wapo Mazembe lakini Tp Mazembe wana timu nyingine ambayo si hii tuijuayo bali ile ni kama chimbo la kufua wachezaji, wanachofanya ni kuchukua wachezaji wenye vipaji kutoka pote Africa hii na kuwafua huko, mchezaji akionyesha uwezo anakuja Mazembe tuijuayo so wapo huko wanapambana,

those guys wanahisi wanaweza pata Sammata mwingine from Tanzania ndo maana walimtaka hata Ajibu ...pia ulimwengu yupo kule..Katumbi amekuwa kipenzi cha watanzania anaamini kuna kitu.

Pia Samatta na Ulimwengu walionyesha nidhamu ya hali ya juu sana ukiachana na vipaji vyao...tukijitahidi watanzania Mazembe ni nyumbani...walio tangulia wametuwalisha vyema.

Ni hayo tu nijuayo though I stand to be corrected.
 
Hivi Mo ana mipango gani endelevu ya kukuza vipaji vya wachezaji?
 
Hivi Mo ana mipango gani endelevu ya kukuza vipaji vya wachezaji?
Mara ya mwisho nakumbuka baada ya Simba kupokea kichapo kutoka kwa Mtibwa kwenye fainali ya Mapinduzi...Mo alisema ata deal na mkataba wake tu ambao pia ilikua ni kuendeleza vipaji vya vijana wadogo but naona kimya mpaka sasa...nadhani itakuwa busara kama tukisubiri mchakato wa uwekezaji ukamilike kisha tuhoji kuhusiana na suala hilo ,lakini nina uhakika lipo kwenye mikakati ya Simba(Mo)
 
Mkuu...kwa taarifa nilizo nazo ni kwamba Ambokile na Singano wapo Mazembe lakini Tp Mazembe wana timu nyingine ambayo si hii tuijuayo bali ile ni kama chimbo la kufua wachezaji,wanachofanya ni kuchukua wachezaji wenye vipaji kutoka pote Africa hii na kuwafua huko,mchezaji akionyesha uwezo anakuja Mazembe tuijuayo so wapo huko wanapambana,those guys wanahisi wanaweza pata Sammata mwingine from Tanzania...ndo maana walimtaka hata Ajibu ...pia ulimwengu yupo kule..Katumbi amekuwa kipenzi cha watanzania anaamini kuna kitu,pia Sammata na Ulimwengu walionyesha nidhamu ya hali ya juu sana ukiachana na vipaji vyao...tukijitahidi watanzania Mazembe ni nyumbani...walio tangulia wametuwalisha vyema.

Ni hayo tu nijuayo though I stand to be corrected.
Singano yupo nkana rangers ya zqmbia kwa mkopo, ambokile sijui.
 
Kikosi cha TP Mazembe cha msimu huu kina wachezaji 36, mmoja wa wachezaji hao ni Eliud Ambokile na jezi yake ni nambari 26.
Ndugu yetu bado yupo pale.
 
Back
Top Bottom