Mkuu, kwa taarifa nilizo nazo ni kwamba Ambokile na Singano wapo Mazembe lakini Tp Mazembe wana timu nyingine ambayo si hii tuijuayo bali ile ni kama chimbo la kufua wachezaji, wanachofanya ni kuchukua wachezaji wenye vipaji kutoka pote Africa hii na kuwafua huko, mchezaji akionyesha uwezo anakuja Mazembe tuijuayo so wapo huko wanapambana,
those guys wanahisi wanaweza pata Sammata mwingine from Tanzania ndo maana walimtaka hata Ajibu ...pia ulimwengu yupo kule..Katumbi amekuwa kipenzi cha watanzania anaamini kuna kitu.
Pia Samatta na Ulimwengu walionyesha nidhamu ya hali ya juu sana ukiachana na vipaji vyao...tukijitahidi watanzania Mazembe ni nyumbani...walio tangulia wametuwalisha vyema.
Ni hayo tu nijuayo though I stand to be corrected.