Naomba kupewa utaalamu juu ya AC za majumbani

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,793
Reaction score
2,401
Habari za asubuhi wadau,

Naombeni msaada wa hizi AC tunazoweka majumbani kwetu. Kama mnavyojua joto limekuwa kali sana hasa hapa kwenye Jiji la Makonda.

Naombeni wenye uelewa na uzoefu wa hizi AC kwa maana ya aina ipi ni nzuri na inadumu, zinauzwa kiasi gani na ulaji wa umeme upoje kwa siku (units kwa saa 12).

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Tafadhali ukipata jibu naomba unitag.
 
Kwanza ni muhimu kujua ukubwa wa chumba chako unapotaka kufunga hiyo A.C. maana zipo za ukubwa tofauti kuanzia 0.75 HP au 9000BTU mpaka 3 HP. Kadiri ukubwa unapozid ndipo na matumiz ya umeme yanapokuwa juu.kwa chumba cha kawaida say 4x5 meters au 5x5 meters funga A.C. ya 9000BTU itakutosha.umeme kula sasa hapo ni suala la insulation ya chumba chako je kuna mahal hewa ya baridi iliyopoa itaweza kupotea maana ukifunga a.c. na ukataka efficiency ziwe juu huna bud kuwa na closed room in terms of Windows na milango. Kama mazingira ni mazur tegemea itakula umeme wa around 2000-5000 kwa siku hapo including taa zako
 
Kwanza ni muhimu kujua ukubwa wa chumba chako unapotaka kufunga hiyo A.C. maana zipo za ukubwa tofauti kuanzia 0.75 HP au 900BTU mpaka 3 HP. Kadiri ukubwa unapozid ndipo na matumiz ya umeme yanapokuwa juu.kwa chumba cha kawaida say 4x5 meters au 5x5 meters funga A.C. ya 900BTU itakutosha.umeme kula sasa hapo ni suala la insulation ya chumba chako je kuna mahal hewa ya baridi iliyopoa itaweza kupotea maana ukifunga a.c. na ukataka efficiency ziwe juu huna bud kuwa na closed room in terms of Windows na milango. Kama mazingira ni mazur tegemea itakula umeme wa around 2000-5000 kwa siku hapo including taa zako
Aksante mkuu. Ukubwa wa chumba ni hiyo 5.3*4.4 meters. Hivyo nimeanza kupata mwanga. Vipi kuhusu aina? Kuhusu upoteaji wa hewa baridi naweza kudhibiti kwa madirisha na milango niliyo nayo.
 
cooling a room
-hua tabia ya joto na baridi ni kwamba joto hua linaenda sehem yenye baridi. movement hua ivo
-kuna sehemu nne joto linaweza kuja kuingia kwenye chumba kwanza kabisa ni bati lisilo na insulation, pili ni madirisha sbb watu wengi hutumia ordinary glass, walls sbb wengi hutumia tu inch 5 na plaster ivo joto kupita ni kawaida na nne openings yani nafasi kwenye milango nk.
-ukiwa unatumia chumba mtu mmoja na unatumia ac ni tofauti na kama sehem kama hiyo ni sebule ambayo mnaweza kua wa 5 paka 10, manake joto mnalozalisha ni kubwa sana. ivi unaweza hitaji ac yenye uwezo mkubwa.
-position ya chumba ina matter pia, kwa mfano kama kipo upande ambao jua linapiga asubui, manake ikifika jioni basi ndo kunakua na joto kali sana, sbb kwa time lag ya tofali basi joto limeshaingia, ivo cooling yake itatumia more energy kwa wakati huo.
-hayo ya juu nakutajia kama utapenda kua very technical na effecient ila kwa mazingira ya kawaida
-ni kweli ac power ina reflect square meters it can cool on an average requirement.
-kwa chumba ulichokisema unahitaji yenye cooling capacity 9000Btu/h-12,000Btu/h, yani 0.75horsepower paka 1hp.
-kwa nyumba za kuishi kama una cools rooms kadhaa ni bora ukatumia split units na ziwe basic yani mashine ya nnje na grille yake ya ndani ili kama mashine moja iliharibika basi urekebishe iyo. tofauti na kama ungekua na chiller moja (mashine moja kubwa nnje) na zile za ndani nyingi, hio haitakufaa
-zingatia distance ya mashine ya nnje na ndani zisiwe mbali sana, sbb the more the distance the more cool loss
-pia faham kama wiring system ya nyumba inaruhusu ku handle ac manake kwanzia distribution board, circuit breaker na sometime hata meter. pia switch na wiring ya hiyo ac husika. kwa nyumba kubwa yenye ac nyingi inaweza hitaji 3phase meter.
-brands ambazo zimekua common kwa ac za kawaida izi ni samsung, lg na kwa wastani westpoint, super general.
-pia kwa models mpya za ac hua zina installed power controller zake, yani avs zake ili matatizo ya umeme haziharibiki
-matumizi ya umeme kama 0.75-1hp manake ina around 1200w paka 1400w, yani unaweza tumia unit 1.2 paka 1.4 ikiwaka kwa lisaa..
 
Vipi zile AC za kuhamisha, yaani zile kama kabati zipo sana club na kumbi za mikutano, hivi hizi zinafaa kwa matumizi ya nyumbani? Je bei zake zikoje?
 
Kwanza ni muhimu kujua ukubwa wa chumba chako unapotaka kufunga hiyo A.C. maana zipo za ukubwa tofauti kuanzia 0.75 HP au 900BTU mpaka 3 HP. Kadiri ukubwa unapozid ndipo na matumiz ya umeme yanapokuwa juu.kwa chumba cha kawaida say 4x5 meters au 5x5 meters funga A.C. ya 900BTU itakutosha.umeme kula sasa hapo ni suala la insulation ya chumba chako je kuna mahal hewa ya baridi iliyopoa itaweza kupotea maana ukifunga a.c. na ukataka efficiency ziwe juu huna bud kuwa na closed room in terms of Windows na milango. Kama mazingira ni mazur tegemea itakula umeme wa around 2000-5000 kwa siku hapo including taa zako

Aksante mkuu. Ukubwa wa chumba ni hiyo 5.3*4.4 meters. Hivyo nimeanza kupata mwanga. Vipi kuhusu aina? Kuhusu upoteaji wa hewa baridi naweza kudhibiti kwa madirisha na milango niliyo nayo.
aina zipo nyingi kuna Samsung, LG, Panasonic, westpoint nk. binafsi ningekushauri LG ya 9000 BTU kwa hiyo room yako.
 
Vipi zile AC za kuhamisha, yaani zile kama kabati zipo sana club na kumbi za mikutano, hivi hizi zinafaa kwa matumizi ya nyumbani? Je bei zake zikoje?
Zile za free standing zina BTU kubwa zaid kuliko za majumbani, ni heavy juty zinapooza eneo kubwa zaid. Labda ukiitumia nyumbani ikae sitting room afu ipooze nyumba nzima mpaka vyumbani
 
Habari za asubuhi wadau,

Naombeni msaada wa hizi AC tunazoweka majumbani kwetu. Kama mnavyojua joto limekuwa kali sana hasa hapa kwenye Jiji la Makonda.

Naombeni wenye uelewa na uzoefu wa hizi AC kwa maana ya aina ipi ni nzuri na inadumu, zinauzwa kiasi gani na ulaji wa umeme upoje kwa siku (units kwa saa 12).

Natanguliza shukrani za dhati.
Kurahisisha mambo kwanza unatakiwa ujue ujazo wa hiko chumba chako ili uweke proper AC. Ingia google download BTU calculator... Utaingiza length, width, height za chumba chako(in metres) na temperature ya chumba ambayo ni kama 30C kwa dar ukicalculate itakupa jibu kwenye standard ya BTU/hr

Mpaka hapo utakua ushajua chumba chako kinahitaji AC ya BTU ngapi na ndo utakayoenda kuitafuta madukani

Ukitaka kujua itakula umeme kiasi gan fanya kwa hii rate 1BTU/hr = 0. 293watts so ukifanya conversion kulingana na BTU/hr ambayo utakua umepata kwenye calculator utapata watts/hr ambayo ukizidisha mara 12 utajua itakula umeme kiasi gan kwa hayo masaa 12
 
mbona mnazunguka mbuyu?? mnaofahamu mtajieni bei za BTU ambazo zipo na wapi zinapatikana ili kumpa choices
 
Kwanza ni muhimu kujua ukubwa wa chumba chako unapotaka kufunga hiyo A.C. maana zipo za ukubwa tofauti kuanzia 0.75 HP au 9000BTU mpaka 3 HP. Kadiri ukubwa unapozid ndipo na matumiz ya umeme yanapokuwa juu.kwa chumba cha kawaida say 4x5 meters au 5x5 meters funga A.C. ya 9000BTU itakutosha.umeme kula sasa hapo ni suala la insulation ya chumba chako je kuna mahal hewa ya baridi iliyopoa itaweza kupotea maana ukifunga a.c. na ukataka efficiency ziwe juu huna bud kuwa na closed room in terms of Windows na milango. Kama mazingira ni mazur tegemea itakula umeme wa around 2000-5000 kwa siku hapo including taa zako
4000 kwa siku si haba kwa mie mlalahoi
 
Wakuu vipi kuhusu hall

Width =24m

Length= 34 m

Height = 8m

Temperature iwe ya dsm= 34° c average

Hapa zinatakiwa AC ngapi na za horse power ngapi?
 
Kwanza ni muhimu kujua ukubwa wa chumba chako unapotaka kufunga hiyo A.C. maana zipo za ukubwa tofauti kuanzia 0.75 HP au 9000BTU mpaka 3 HP. Kadiri ukubwa unapozid ndipo na matumiz ya umeme yanapokuwa juu.kwa chumba cha kawaida say 4x5 meters au 5x5 meters funga A.C. ya 9000BTU itakutosha.umeme kula sasa hapo ni suala la insulation ya chumba chako je kuna mahal hewa ya baridi iliyopoa itaweza kupotea maana ukifunga a.c. na ukataka efficiency ziwe juu huna bud kuwa na closed room in terms of Windows na milango. Kama mazingira ni mazur tegemea itakula umeme wa around 2000-5000 kwa siku hapo including taa zako
Bei inauzwaje????
 
Aisee elim tosha,
Duhh lakini Tsh: 2,000 - 5,000 per room per day sio mchezo.
Ina maana kwa nyumba nzima si chini ya 15,000 kwa siku,emweeeeeeeeeeee
Ndio maana wengine tumeamua kununua viwanja vikubwa vya acre moja kwa tatizo hili,maana full upepo.Ila hivi vikoridor vya 20m x 20 ni kuiva tu bajameni
 
Naam. Ni pesa nyingi sana mkuu. Lakini ambao tuna 20*20 hakuna namna tena.
 
Back
Top Bottom