cooling a room
-hua tabia ya joto na baridi ni kwamba joto hua linaenda sehem yenye baridi. movement hua ivo
-kuna sehemu nne joto linaweza kuja kuingia kwenye chumba kwanza kabisa ni bati lisilo na insulation, pili ni madirisha sbb watu wengi hutumia ordinary glass, walls sbb wengi hutumia tu inch 5 na plaster ivo joto kupita ni kawaida na nne openings yani nafasi kwenye milango nk.
-ukiwa unatumia chumba mtu mmoja na unatumia ac ni tofauti na kama sehem kama hiyo ni sebule ambayo mnaweza kua wa 5 paka 10, manake joto mnalozalisha ni kubwa sana. ivi unaweza hitaji ac yenye uwezo mkubwa.
-position ya chumba ina matter pia, kwa mfano kama kipo upande ambao jua linapiga asubui, manake ikifika jioni basi ndo kunakua na joto kali sana, sbb kwa time lag ya tofali basi joto limeshaingia, ivo cooling yake itatumia more energy kwa wakati huo.
-hayo ya juu nakutajia kama utapenda kua very technical na effecient ila kwa mazingira ya kawaida
-ni kweli ac power ina reflect square meters it can cool on an average requirement.
-kwa chumba ulichokisema unahitaji yenye cooling capacity 9000Btu/h-12,000Btu/h, yani 0.75horsepower paka 1hp.
-kwa nyumba za kuishi kama una cools rooms kadhaa ni bora ukatumia split units na ziwe basic yani mashine ya nnje na grille yake ya ndani ili kama mashine moja iliharibika basi urekebishe iyo. tofauti na kama ungekua na chiller moja (mashine moja kubwa nnje) na zile za ndani nyingi, hio haitakufaa
-zingatia distance ya mashine ya nnje na ndani zisiwe mbali sana, sbb the more the distance the more cool loss
-pia faham kama wiring system ya nyumba inaruhusu ku handle ac manake kwanzia distribution board, circuit breaker na sometime hata meter. pia switch na wiring ya hiyo ac husika. kwa nyumba kubwa yenye ac nyingi inaweza hitaji 3phase meter.
-brands ambazo zimekua common kwa ac za kawaida izi ni samsung, lg na kwa wastani westpoint, super general.
-pia kwa models mpya za ac hua zina installed power controller zake, yani avs zake ili matatizo ya umeme haziharibiki
-matumizi ya umeme kama 0.75-1hp manake ina around 1200w paka 1400w, yani unaweza tumia unit 1.2 paka 1.4 ikiwaka kwa lisaa..