Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha kulipa
Nimewaza nijiwekee malengo ya kufungua kampuni la usafi hapo baadaye, ila kwa Sasa sina hata shilingi ya kuanzia. Nataka nipate muongozo nianzie wapi nifikie lengo ama km kuna idea nyingne ya biashara ama kazi nisaidiwe.