MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 216
- 313
- Thread starter
- #21
familia ninayo,age 30+Una umri gani? Una familia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
familia ninayo,age 30+Una umri gani? Una familia?
age 30+ familia ninayoUna umri gani? Una familia?
suala la kujituma Mimi 💯, Shida ni kazi ambayo Ile utayopewa na ukajituma haiwezi kukupatia chochote Bila wewe kutengeneza mazingira kandamizi Kwa unaemshughulikia, sasa Mimi naamini katika nafsi yangu kwamba nitakachokitafuta Kwa jasho langu kitanijenga kiakili kuliko ninachosubiri/tegemezi Kwa mtu ninayemnyima haki yake.Tanzania hii kila mtu anauchukia ufisadi Ila wengi makazini hadi kwenye biashara ni mafisadi.
Ndio mfumo uliopo, aidha ule vya haramu na utusue faster au uende njia ya haki na ukawie kufika au ufe na maisha ya kawaida au maskini kabisaa.
Wanayokuambia ukitoa la pombe ndio uhalisia wa makazini,
Wengi tumeubatiza wizi kwa jina la "deals" na wewe ulivyojiweka kikatekista wanaona sio mtu wa kumuamini ndio maana wanakutenga.
Yawezekana unalo tatizo Ila tatizo kubwa zaidi lipo kwenye mfumo mzima maana umeoza.
Cha kukushauri,
Moja FANYA LINALOWEZEKANA KUENDANA NA MFUMO.
pili, Kubali gharama za kuenda tofauti ikiwemo kujiumiza ili utengeneze hiyo njia unayoiona bora maana biashara unayoipenda inafanywa, haiotwi au kubakia kama sehemu ya interest sunavyochukuli zako kama unavyochukulia.
Tatu, tafuta kazi kwenye multinationals au sehemu zilizopo strictly proffessional haswa organizations au private companies zinazoongozwa na wazungu maana huwa zimenyooka kimfumo. Ila hapa unatakiwa kuwa mtu compitent maana hakuna janja janja la sivyo utaondolewa
familia yako inaridhika na maendeleo yake kiuchumi? Na je inaridhika na kufurahia mienendo na hulka zako?age 30+ familia ninayo
Wazazi ni wachamungu na pia wanachukia dhulma wananisisitiza kutenda haki,japo wanaitaji msaada wangu.familia yako inaridhika na maendeleo yake kiuchumi? Na je inaridhika na kufurahia mienendo na hulka zako?
Nakuelewa mkuu ndio maana nikakuambia kuwa yawezekana tatizo ni mfumo wa hapo ulipo..suala la kujituma Mimi 💯, Shida ni kazi ambayo Ile utayopewa na ukajituma haiwezi kukupatia chochote Bila wewe kutengeneza mazingira kandamizi Kwa unaemshughulikia, sasa Mimi naamini katika nafsi yangu kwamba nitakachokitafuta Kwa jasho langu kitanijenga kiakili kuliko ninachosubiri/tegemezi Kwa mtu ninayemnyima haki yake.
Aise! ushakua na mke na watoto unazungumzia tena wazazi wako? Mimi nimekuuliza kuhusu familia yako.Wazazi ni wachamungu na pia wanachukia dhulma wananisisitiza kutenda haki,japo wanaitaji msaada wangu.
Duh!Aise! ushakua na mke na watoto unazungumzia tena wazazi wako? Mimi nimekuuliza kuhusu familia yako.
Duh!Uoga wako ndio umasikini wako.
Usiige mtu.Mimi naweza sana kujituma kufanya, Shida Ni kwamba Kazi yangu inatoa Fulsa ya kupata pesa za r*****sh sasa Mimi nina huruma na hutu na napenda haki hapo ndipo naitaji ushauri nibadike au niendelee na moyo huu Kwa kuamini nitapata Baraka za mungu.
Kila sehemu ya kazi ina namna yake kuna kazi zinakulazimu uwe hivyo, usipo fanya hivyo mambo hayakai Sawa Kwa kuwa utawakwamisha na wenzio katika hiyo kazi.Usiige mtu.
kama nafsi inakataa usilazimishe utaishia pabaya.
Binafsi siwezi kukaa sehemu ya rushwa itanishinda.
Kuna deals smart watu wanafanya ukiwa mtu wa principal sana unaonekana KINEGA..Mkuu mi nashauri za kuambiwa changanya na zako
Fanya kazi ya halali pata malipo ya halali, hata hizo kazi wanazosema zina hela kama za halali fanya then lipwa, usimuibie mtu wala usimkandamize mtu utaishia kubaya
Weka uhusiano mzuri na watu sio lazima kua attached nao ila kua na uhusiano mzuri epuka ugomvi
Kubwa kuliko MUNGU huwalipa watu wema tenda wema na kua muadilifu siku zote
Duh!!,Walimwengu bhana.Kwa uandishi huo hata mimi ningekutenga.