Mwenye uelewa na ndoto ifuatayo naomba anijuze:
Nikuwa nikiota kwamba Mimi ni mwalimu na katika ndoto nimekuwa nikisimamia wanafunzi wanafanya mtihani wa hesabu, ndoto hii jimeiita Mara nne mfulilizo , na kiuhalisia Mimi si mwalimu,na Wala sitegemei kuwa mwalimu.
Kinachonoshangaza ni Kwanini ndoto hii ijurudie Sana, yamkini inaweza kuwa na maana , na pia yasemekana Kila unachoota Huwa kina maana, tafadhali mwenye uelewa naomba anijuze.
NB:zamani nilikuwa sifuatilii ndoto kabisa, nilikuwa naomba ni kitu Cha kawaida, Ila nakumbuka ilikuwa mweZi wa Saba niliota ndugu zangu wawili ambao ni rafiki zangu sana, niliota kwamba wananisengenya, na kunisema Kwa vitu amvavyo si vizurii.
Lakini nimeahangaa mwishoni mwa mweZi wa tisa mmoja kati Yao, from no where akajikuta ananisimlia namna walivokuwa wananisema ndipo nikamkumbuka ndoto niliyoota, tangu siku hiyo siwezi kudharau ndoto .