Naomba kutafsiriwa ndoto hii

hesalieyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
378
Reaction score
380
Mwenye uelewa na ndoto ifuatayo naomba anijuze:

Nikuwa nikiota kwamba Mimi ni mwalimu na katika ndoto nimekuwa nikisimamia wanafunzi wanafanya mtihani wa hesabu, ndoto hii jimeiita Mara nne mfulilizo , na kiuhalisia Mimi si mwalimu,na Wala sitegemei kuwa mwalimu.

Kinachonoshangaza ni Kwanini ndoto hii ijurudie Sana, yamkini inaweza kuwa na maana , na pia yasemekana Kila unachoota Huwa kina maana, tafadhali mwenye uelewa naomba anijuze.


NB:zamani nilikuwa sifuatilii ndoto kabisa, nilikuwa naomba ni kitu Cha kawaida, Ila nakumbuka ilikuwa mweZi wa Saba niliota ndugu zangu wawili ambao ni rafiki zangu sana, niliota kwamba wananisengenya, na kunisema Kwa vitu amvavyo si vizurii.

Lakini nimeahangaa mwishoni mwa mweZi wa tisa mmoja kati Yao, from no where akajikuta ananisimlia namna walivokuwa wananisema ndipo nikamkumbuka ndoto niliyoota, tangu siku hiyo siwezi kudharau ndoto .
 
Si mtaalam wa maswala ya ndoto ila hiyo ndoto ni nzuri sana unatakiwa uiatamie kwa maombi na sala
 
Si mtaalam wa maswala ya ndoto ila hiyo ndoto ni nzuri sana unatakiwa uiatamie kwa maombi na sala
Mkuu tafadhali naomba unielezee kidogo ni nzurii kivipiili niweze kuiatamia Kwa maombi
 
Ndoto nzuri hiyo,
 
Wasiliana na huyu bwana Freedom tommorrow
 
Wewe si Mwalimu lakini unafanya kazi ya ualimu (kwa ndoto)

Unasimamia Hesabu wenyewe huita janga la Taifa sio history wala kiswahili

Ndoto umeota mara nyingi si chini ya mara moja

Twende hv sasa kwa msaada wa roho Mtakatifu:

Mbele yako kuna suala la kuwa msimamizi kwenye kazi nzito kiasi.

Kuna pahala huko uendako utapewa Dhamana au kuaminiwa kusimamia Jambo zito kwenye Jamii lenye sura ya kuwa mtawala ama msimamizi.

Unachotakiwa kufanya ni kuomba ndoto yako iwe kweli kabla haijatupwa mbali na vision killers.

Hapa kuna msaada wako zaidi:

 
Hakika mkuu umeifafanua vizuri kabisa.
 
Asante Sana mkuu, ubarikiwe
 
Mwalimu, karama hiyo siyo lazima ufundishe shule, ila una kitu cha kuelimisha jamii au familia.

Hesabu yaani namba kitu ambacho huwa kigumu na wengi hawapendi hesabu.

Iatamie ndoto kwa maombi, hata kama haitakuwa kwako iwe kwa mmoja wapo wa kizazi chako.

Waambie hicho unachokijua ukiacha na yakaja mabaya kitakugharimu.

Sijui zaidi
 
Mbeleni kuna jambo gumu utakabiliana nalo. Jipange vzr๐Ÿ™๐Ÿ™



Jokes.
Ukifika kwenye usahishaji naomba uniite nikupe marking scheme๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mbeleni kuna jambo gumu utakabiliana nalo. Jipange vzr๐Ÿ™๐Ÿ™



Jokes.
Ukifika kwenye usahishaji naomba uniite nikupe marking scheme๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™
 
Asante madam๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ