dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Mm ni mtanzania, mzalendo, mwenye uwezo usiotiliwa mashaka nina elimu ya shahada ya uhandisi wa mitambo,ni mwana ccm toka mwaka 2008 hadi sasa, ni mtiifu, mwaminifu, mwadilifu
Naomba kuteuliwa kushika nafsi ya ukuu wa wilaya ya longido kufatia alikuwepo kuondoshwa hvyo natumia fursa hii kumuomba Rais wa jamuhur ya muungano Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan kuniteuwa kushika nafsi hyo ilio wasi hivi sasa,namuhikishia sinto muangusha na nitatumia mbinu zangu, elimu yangu, uwezo wangu wote kuunganisha wananchi na kuwafaNya wanainch waipende serekali yako unayo I endesha kwa ufanisi mkubwa, na kwa uwazi mkubwa
Naomba unifikirie hata niko tayari kufanyiwa vetting na vijna wako wajiridhishe juu ya uadilifu wangu na uaminifu nahaidi kutunza siri zote za wilaya na za serekali bila twashishwi, niko tayari muda wote kutumwa popote, kuelekezwa jambo lolote na wakubwa zangu ili kuwatumikia watanzania wenzangu. Mama Naomba uteuzi
Kwa sssa niko ddoma chamwino Jirani kbsa na majengo ya serekali