Naomba kuteuliwa nafasi ya Ukuu wa Wilaya ya Longido

Mm ni mtanzania, mzalendo, mwenye uwezo usiotiliwa mashaka nina elimu ya shahada ya uhandisi wa mitambo,ni mwana ccm toka mwaka 2008 hadi sasa, ni mtiifu, mwaminifu, mwadilifu

Naomba kuteuliwa kushika nafsi ya ukuu wa wilaya ya longido kufatia alikuwepo kuondoshwa hvyo natumia fursa hii kumuomba Rais wa jamuhur ya muungano Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan kuniteuwa kushika nafsi hyo ilio wasi hivi sasa,namuhikishia sinto muangusha na nitatumia mbinu zangu, elimu yangu, uwezo wangu wote kuunganisha wananchi na kuwafaNya wanainch waipende serekali yako unayo I endesha kwa ufanisi mkubwa, na kwa uwazi mkubwa

Naomba unifikirie hata niko tayari kufanyiwa vetting na vijna wako wajiridhishe juu ya uadilifu wangu na uaminifu nahaidi kutunza siri zote za wilaya na za serekali bila twashishwi, niko tayari muda wote kutumwa popote, kuelekezwa jambo lolote na wakubwa zangu ili kuwatumikia watanzania wenzangu. Mama Naomba uteuzi

Kwa sssa niko ddoma chamwino Jirani kbsa na majengo ya serekali

DC wa longido alikuwa siyo muoga ,je na wewe ni Muoga? Utaweza kufanya Mambo ya maporini?
 
Kama wewe una uwezo wa kuwa Dc basi omba nafsi hyo kwa vile unajuwa kuumba mwandiko na ni mahiri ktk fani yako ya lagha ya kiswahili
Mkuu usikasirike maana kama kweli unahitaji kazi hii basi vetting inahusisha mambo mengi ikiwemo uwezo mzuri wa kupangilia maandishi.

Kumbuka unaweza kuhitajika kuandika barua ya kikazi kwenda ofisi ya juu yako sasa kama uandishi utakuwa una shida mahali watu wataanza ku criticise uwezo wako wa kuongoza.
 
Mm ni mtanzania, mzalendo, mwenye uwezo usiotiliwa mashaka nina elimu ya shahada ya uhandisi wa mitambo,ni mwana ccm toka mwaka 2008 hadi sasa, ni mtiifu, mwaminifu, mwadilifu

Naomba kuteuliwa kushika nafsi ya ukuu wa wilaya ya longido kufatia alikuwepo kuondoshwa hvyo natumia fursa hii kumuomba Rais wa jamuhur ya muungano Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan kuniteuwa kushika nafsi hyo ilio wasi hivi sasa,namuhikishia sinto muangusha na nitatumia mbinu zangu, elimu yangu, uwezo wangu wote kuunganisha wananchi na kuwafaNya wanainch waipende serekali yako unayo I endesha kwa ufanisi mkubwa, na kwa uwazi mkubwa

Naomba unifikirie hata niko tayari kufanyiwa vetting na vijna wako wajiridhishe juu ya uadilifu wangu na uaminifu nahaidi kutunza siri zote za wilaya na za serekali bila twashishwi, niko tayari muda wote kutumwa popote, kuelekezwa jambo lolote na wakubwa zangu ili kuwatumikia watanzania wenzangu. Mama Naomba uteuzi

Kwa sssa niko ddoma chamwino Jirani kbsa na majengo ya serekali
Mkishalewa madaraka ya kulevya mnaanza kuropoka siri za serikali na Chama cha Ccm
 
Mkuu usikasirike maana kama kweli unahitaji kazi hii basi vetting inahusisha mambo mengi ikiwemo uwezo mzuri wa kupangilia maandishi.

Kumbuka unaweza kuhitajika kuandika barua ya kikazi kwenda ofisi ya juu yako sasa kama uandishi utakuwa una shida mahali watu wataanza ku criticise uwezo wako wa kuongoza.
Sahihsh bas nilikosea wapi
 
Mzalendo gani umeweka profile ya Bosco Ntaganda ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ we ni Banyamulenge
 
D
Mm ni mtanzania, mzalendo, mwenye uwezo usiotiliwa mashaka nina elimu ya shahada ya uhandisi wa mitambo,ni mwana ccm toka mwaka 2008 hadi sasa, ni mtiifu, mwaminifu, mwadilifu

Naomba kuteuliwa kushika nafsi ya ukuu wa wilaya ya longido kufatia alikuwepo kuondoshwa hvyo natumia fursa hii kumuomba Rais wa jamuhur ya muungano Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan kuniteuwa kushika nafsi hyo ilio wasi hivi sasa,namuhikishia sinto muangusha na nitatumia mbinu zangu, elimu yangu, uwezo wangu wote kuunganisha wananchi na kuwafaNya wanainch waipende serekali yako unayo I endesha kwa ufanisi mkubwa, na kwa uwazi mkubwa

Naomba unifikirie hata niko tayari kufanyiwa vetting na vijna wako wajiridhishe juu ya uadilifu wangu na uaminifu nahaidi kutunza siri zote za wilaya na za serekali bila twashishwi, niko tayari muda wote kutumwa popote, kuelekezwa jambo lolote na wakubwa zangu ili kuwatumikia watanzania wenzangu. Mama Naomba uteuzi

Kwa sssa niko ddoma chamwino Jirani kbsa na majengo ya serekali
Dr. Kwani wewe ni mwanachama wa kile chama ?
 
Back
Top Bottom