Naomba kuteuliwa nafasi ya Ukuu wa Wilaya ya Longido

D
Dr. Kwani wewe ni mwanachama wa kile chama ?
 
Weka namba yako
 
Bila kuwa kwenye list ya wanachama kindaki ndaki wa CCM - sahau.

Hizo positions zimeshageuka za wanasiasa waliokulia UVCCM.
 
Upo Dodoma!!! Unahudhuria klinik ya vichaaa!?? Maana inaonesha njaa imejikita kichwani Sasa inatoka ikaleta uchizi!! Jiajiri kama CCM wanavyosema!??
 
Upo Dodoma!!! Unahudhuria klinik ya vichaaa!?? Maana inaonesha njaa imejikita kichwani Sasa inatoka ikaleta uchizi!! Jiajiri kama CCM wanavyosema!??
Acha kumdhalilisha Mhandisi wa Mitambo, hunijui vzr na sikujuwa vzr Acha zarau
 
Tumekusikia, je tukikupa ukuu utayatumiaje mapori yaliyopo?
 
Tumekusikia, je tukikupa ukuu utayatumiaje mapori yaliyopo?
pmapori tengeru yapo kwa mujibu ya sheria ya uifadhi, ila mm nitayatumia kama sehemu ya kuendesha mpango ya carbon na wale mijitu. Ma jeuri yote wataletwa huku
 
Mimi napendekeza uwe mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi, baada ya jina la samia hassan kupigwa chini.
 
Ajira zilishakuwa jau,bora ubunifu wa namna hii,shida ya ajira lazima iishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…