Maradhi tote haya unatukana watu?
Huoni kwamba huu ni muda wa kuweka mambo yako sawa ili likitokea la kutokea unakwenda peponi. Kwanza unaye mtukana himjui.
Pesa ya bure mtandaoni IPO nyingi tu iwapo utatoa kiingilio ama registration fees au mbegu.
Tatizo nyie hamtaki kutoa pesa ya kujisajili. Unategemea upate pesa bila kujisajili?
Hivi ndivyo watengeneza pesa online
na hivi ndivyo unaitoa utaona jana nimetoa lak nane via atm na lak via paypal na tarehe 17 mwezi uliopita utaona nilitoa milion 1.2
Pesa ya bure mtandaoni IPO nyingi tu iwapo utatoa kiingilio ama registration fees au mbegu.
Tatizo nyie hamtaki kutoa pesa ya kujisajili. Unategemea upate pesa bila kujisajili?
Haoingi akilini ujisajili tu upewe pesa za bite!!!?'wao wanapata faida gani?wao wanapata wapi hizo pesa za bure za kugawia watu?wao hawana ndugu wanaohitaji hizo pesa za bure?