Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, ulaji wa wese unatofautiana kutokana na sababu nyingi kama service history, dereva, barabara, etc.
Hiyo gari ya 2005 ni used so data utakazopata hapa na Google zitatofautiana sana.
Hafu kama ndio gari unayotaka kununua, una mengi ya kuofia ukiachana na ulaji wa mafuta.
Ila cc 2000 ni 4 cylinders na ulaji wake hautatofautiana sana na Toyota yoyote ya same engine.
Kwa kuuliza, wewe umetoka endesha gari gani mfano?
Sa ngoja nikujibu tu kwa experience yangu Dar:
Kwa engine cc 2500 inasomaga computer 6km/l town highway nikijitahidi sana 10km/l
Sasa kwa hiyo 320i itakua kwenye 8km/l hivi hapa town kwakua ni 4 cylinders.
Chukua chuma iyo wewe maarifa ya nini unataka.Sio kwamba nataka kununua mkuu, nimeuliza tu ili niongeze maarifa mkuu wangu
Chukua chuma iyo wewe maarifa ya nini unataka.
humu kila mtu anagariMImi gari yangu ni ya CC 2400 inatembea Km 11 kwa lita. kwa hiyo yako inaweza fika hadi 14
Bei rahisi tu haifiki 1.2mAcha kuwaza ulaji wa Mafuta,umejiandaaje na water pump kwanza?
Water pump gani hio ya 1.2m?