Naomba kuujua BMW 3 Series ya mwaka 2005 yenye 1950cc inatembea kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta?

Meja M

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
628
Reaction score
560
Wakuu habarini za wakati huu! Naomba kuujua BMW 3 Series ya mwaka 2005 yenye 1950cc inatembea kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta?
Asanteni.
 
Mkuu, ulaji wa wese unatofautiana kutokana na sababu nyingi kama service history, dereva, barabara, etc.

Hiyo gari ya 2005 ni used so data utakazopata hapa na Google zitatofautiana sana.

Hafu kama ndio gari unayotaka kununua, una mengi ya kuofia ukiachana na ulaji wa mafuta.

Ila cc 2000 ni 4 cylinders na ulaji wake hautatofautiana sana na Toyota yoyote ya same engine.

Kwa kuuliza, wewe umetoka endesha gari gani mfano?

Sa ngoja nikujibu tu kwa experience yangu Dar:

Kwa engine cc 2500 inasomaga computer 6km/l town highway nikijitahidi sana 10km/l

Sasa kwa hiyo 320i itakua kwenye 8km/l hivi hapa town kwakua ni 4 cylinders.
 
Sio kwamba nataka kununua mkuu, nimeuliza tu ili niongeze maarifa mkuu wangu
 
Back
Top Bottom