Naomba kuujua mji wa Kahama kupitia picha

Naomba kuujua mji wa Kahama kupitia picha

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Habari wakuu,

Natamani kuufahamu mji wa Kahama kupitia picha. Kama una picha zozote za mji wa Kahama, picha za mitaa, makazi ya watu, viwanja vya michezo, hoteli, shule, hospitali, mito, madaraja, mabonde, barabara, milima, majengo ya ofisi, mitaa ya ushuani, uswazi, masoko, utalii, ofisi za serikali, na vingine vyote vinavyopatikana mji wa Kahama.

Natanguliza shukrani.

1693629181022.jpeg
 
Ukiwa njema usiache kupitia The Magic 101 ,napenda kula samaki hapo ni wakubwa mnofu wa kutosha.
Choma Zone nyama zote za kuchoma wako poa,

Picha sina.
 
Ingia youtube,pole maisha sio sinza tu hata kahama kuna bata la kufa mtu.
 
2014 nilifika huo mji tena usiku sana.

Niliuscan haraka haraka nikagundua Pako vizuri tofauti na baadhi ya wilaya au miji mikubwa.

Kwa hili gepu la miaka 9 patakuwa pazuri zaidi
 
Jipange uende physically bro mjini pamechangamka sana
 
Back
Top Bottom