Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Muoneshe flyover na na pub ya Samaki Samaki na wale wadada watowa utamu.Kahama Pako njema sana
Wadada watoa utamu wapo wa kutosha pale Chiller'sMuoneshe flyover na na pub ya Samaki Samaki na wale wadada watowa utamu.
Awe makini tu kule ngwengwe nje nje.Wadada watoa utamu wapo wa kutosha pale Chiller's
We ni moja ya watu wakurupukaji sana humu. Kuna mawili, una matatizo ya akili au ulilelewa hovyo sana.Nenda karipoti kazini usilete ushubwada.
Mmezoea kukaa Dar mmekuwa wajinga kabisa.
Acha kelele mingi. Faster ripoti kituo chako kipya cha kazi. Porojo jamvin hazisaidii.We ni moja ya watu wakurupukaji sana humu. Kuna mawili, una matatizo ya akili au ulilelewa hovyo sana.
Mkuu unaendeleaje na "mauzo" huko ughaibuni?Acha kelele mingi. Faster ripoti kituo chako kipya cha kazi. Porojo jamvin hazisaidii.
Kammoon karipoti.
Sauh'waah?!
Mauzo gani wewe myebusi?Mkuu unaendeleaje na "mauzo" huko ughaibuni?