Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wataalam.
Ninatumia hii router ya Airtel 5G, sasa kwa hapa nyumbani nikirun test inanipa hizi download na upload speed:
Je, ni speed nzuri? Nimelipia ile ya Elfu 70. Nikirun speed uwa inakuja 10Mbps hadi 15Mbps.
Kwa YouTube 720p kwenye TV inaenda vizuri, buffering mara chache especially nikionganisha device nyingi.
Juzi juzi nimetoa password ikawa open majirani wakajiunga kama wanne nikaona sio mbaya ila nikaona speed imeshuka sana ata YouTube ikawa inaganda ata nilivoshusha 480p. Ikabisi nipunguze idadi ya wanaojiunga hadi 3 maximum kidogo inaenda.