Mkuu, mbona ht mm nikitest speed kwa kutumia wifi ya ofisi au ht kwa mtandao wangu zote zinaniandikia NairobiKuna tatizo kwenye hivi vipimo kama unaona hapo inatumia server za Kenya kupima spidi lakini server za YT hazipo Kenya so kipimo kinaweza kutofautiana na uhalisi kutegemea na website unayotumia.
Kwa kuwa hiyo site unayotumia kufanya test server zao ziko nairobi, ukitumia fast.com (Netflix) au speedtest.net unaweza kupata server tofauti lakini hata hizi isp wanazichezea wanakupa spidi kubwa ukiwa unafanya test tofauti na spidi ya kila siku.Mkuu, mbona ht mm nikitest speed kwa kutumia wifi ya ofisi au ht kwa mtandao wangu zote zinaniandikia Nairobi
nimependa latency yake iko vizuri sanaWataalam.
Ninatumia hii router ya Airtel 5G, sasa kwa hapa nyumbani nikirun test inanipa hizi download na upload speed:
View attachment 3042594
Je, ni speed nzuri? Nimelipia ile ya Elfu 70. Nikirun speed uwa inakuja 10Mbps hadi 15Mbps.
Kwa YouTube 720p kwenye TV inaenda vizuri, buffering mara chache especially nikionganisha device nyingi.
Juzi juzi nimetoa password ikawa open majirani wakajiunga kama wanne nikaona sio mbaya ila nikaona speed imeshuka sana ata YouTube ikawa inaganda ata nilivoshusha 480p. Ikabisi nipunguze idadi ya wanaojiunga hadi 3 maximum kidogo inaenda.
Mkuu umeandika ni ile ya 70,000 na speed wanadai ni 10mbps mbona hapo ni 15mbps🥴🥴🥴Wataalam.