Familia ya kambaleUlishawai kuiona familia ambayo haina mzazi?
kila mtu ni kambale anafanya anachotaka!
nashangaa hizi siku kila mtu alipo anajiropokea tu, kila mtu anaongea anachojiskia,
Kuna chizi mmoja anajiita shekhe amehaidi kuwakata vichwa wote wataoandamana desemba9, tena akiwa mbele ya vyombo vya habari! yani mtu anaongea tu anavojiskia
mara anahaidi wamejipanga mara watadili na shule za kikatoliki,
wakati hili linaendelea mara MC pililipili kauliwa,
yaani imekua vurugu mechi!
hivi niwaulize vita ya kidini mnaiweza?
mnafahanu civil war ni mbaya kuliko vita ya nchi na nchi?
hivi amekosekana mtu mwenye namlaka kuzuia haya mambo?
hakuna mtu mwenye sauti ya mwisho nchi hii?
sawa tutaona mwisho wake ni nini nawaambia hata wanaojiona wapo salama hawatakua salama
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/17K1axiG3w/
Haina. Ina uongo unaoitwa uongozi.Ulishawai kuiona familia ambayo haina mzazi?
kila mtu ni kambale anafanya anachotaka!
nashangaa hizi siku kila mtu alipo anajiropokea tu, kila mtu anaongea anachojiskia,
Kuna chizi mmoja anajiita shekhe amehaidi kuwakata vichwa wote wataoandamana desemba9, tena akiwa mbele ya vyombo vya habari! yani mtu anaongea tu anavojiskia
mara anahaidi wamejipanga mara watadili na shule za kikatoliki,
wakati hili linaendelea mara MC pililipili kauliwa,
yaani imekua vurugu mechi!
hivi niwaulize vita ya kidini mnaiweza?
mnafahanu civil war ni mbaya kuliko vita ya nchi na nchi?
hivi amekosekana mtu mwenye namlaka kuzuia haya mambo?
hakuna mtu mwenye sauti ya mwisho nchi hii?
sawa tutaona mwisho wake ni nini nawaambia hata wanaojiona wapo salama hawatakua salama
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/17K1axiG3w/
Ulishawai kuiona familia ambayo haina mzazi?

Wakuu kuna mambo yanatia hasira Hadi unatamani uwe offline ili kuzuia kuona hawa mashekh wakisenge ambao wamekosa hata elimu qmmmm zao
Hivi kumbe uongozi upo 🤔😏
Labda mpaka aseme atakinukisha ndio inakuwa kesi ya uhaini.Cha ajabu huyu hata shitakiwa kwa kutangaza mauwaji na uvunjifu wa amani mbele ya vyombo vya habari