Naomba kuuliza: Hivi nchi ya Tanzania haina uongozi?



Wakikatwa vichwa tayari tunamjua mkataji ni huyo jamaa
 
Cha ajabu huyu hata shitakiwa kwa kutangaza mauwaji na uvunjifu wa amani mbele ya vyombo vya habari
Alafu kuna binti anapambana na kesi ya uhaini kisa kucheza mziki wa samuyaโ€ฆmy country people tutavuna tunachokipanda acha inyeshe tuone panapovuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ