T Travis_Kitengo JF-Expert Member Joined May 19, 2021 Posts 329 Reaction score 919 May 15, 2026 #1 Wakuu naomba kujua kama tayari watu washaitwa zile kazi za zilizotangazwa april 14, 2026 ? Maana naona tik tok vijana wanapongezana kana kwamba washaanza kuitwa au sisi wengine tuendelee kusubiri tukihitajika tutapigiwa simu kama tulivyoambiwa?
Wakuu naomba kujua kama tayari watu washaitwa zile kazi za zilizotangazwa april 14, 2026 ? Maana naona tik tok vijana wanapongezana kana kwamba washaanza kuitwa au sisi wengine tuendelee kusubiri tukihitajika tutapigiwa simu kama tulivyoambiwa?
T Travis_Kitengo JF-Expert Member Joined May 19, 2021 Posts 329 Reaction score 919 May 15, 2026 Thread starter #2 ???
M Mhigomkami JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 1,336 Reaction score 1,007 May 15, 2026 #3 Mh
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,424 Reaction score 30,799 May 15, 2026 #4 Kwani JWTZ hawana utaratibu wa kuwajuza wale ambao hawajafanikiwa kuitwa?
Ibilisi Mjalaana JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,297 Reaction score 16,529 May 15, 2026 #5 Ukihitajika utaitwa
T Travis_Kitengo JF-Expert Member Joined May 19, 2021 Posts 329 Reaction score 919 May 15, 2026 Thread starter #6 Chivundu said: Kwani JWTZ hawana utaratibu wa kuwajuza wale ambao hawajafanikiwa kuitwa? Click to expand... Hata mm sielewi ndio nataka kujua
Chivundu said: Kwani JWTZ hawana utaratibu wa kuwajuza wale ambao hawajafanikiwa kuitwa? Click to expand... Hata mm sielewi ndio nataka kujua
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,424 Reaction score 30,799 May 15, 2026 #7 Travis_Kitengo said: Hata mm sielewi ndio nataka kujua Click to expand... Sawa.