Naomba kuuliza ili kufungua ofisi za mkopo unahitaji nini na nini?

Naomba kuuliza ili kufungua ofisi za mkopo unahitaji nini na nini?

1. Unahitaji kuwa na kampuni ama jina la biashara lililosajiliwa BRELA.

2. Unatakiwa kuwa na mtaji wa kuanzia milioni 20 yaani ziwepo kwenye account

3. Maombi ya leseni ya benk kuu hii mara nyingi ni kati ya mwezi mmoja hadi miwili wakati mwingine

4. Uwe na angalau staff mmoja ambaye ana elimu ya masuala ya fedha ama mwenye CPA.

Kama utahitaji huduma ya kusaidiwa mchakato wote kuanzia usajili wa kampuni hadi maombi ya kibali cha BoT karibu

0755963775 calls/WhatsApp
 
Cha muhimu kabla ya vyote hakikisha una mabaunsa wasio pungua 4 , panadol zisizo pungua pakiti 2 hii itakusaidia kupunguza stress , kunywa maji mengi , cha mwisho ila cyo lazma hakikisha hukosi namba za eidha askari au mwanasheria aliye sajiliwa utanishukuru badaye
 
Back
Top Bottom