mbilinyibenny
New Member
- Jul 3, 2023
- 2
- 4
Ngoja waje kumpa muongozo...
Kwahyo mabenk nayo yanafanya biashara ya laana? Mbona wanazidi kukua enzi na enzi? Maana njia kuu ya benk kupata faida ni kukopesha pesa za wananchi.achana na hiyo biashara ya laana.