Naomba kuuliza: Ina maana Ubalozi wa Marekani nao unatudanganya ?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Juzi ubalozi wa Marekani ulisema umekutana na Rais.

Kwenye page ya ITV ubalozi ulikutana naye Oktoba 8.

Nani anaficha ukweli.

20251210_102428.jpg

Hii picha waliotoa angalia
20251208_180455.jpg
 
Watanzania tatizo letu tunapenda miujiza!
Hvi US wadanganye ili kiwe nini?
Ni rahisi ,zaidi kuamini mtu kaongeza tu hapi tarehe juu kupotosha..
Hiki kibibi bado kipo kinapumua wajibu wetu sisi ni kuingia barabarani kupambana nae hakuna shortcut ingine..
Kumbuka wanawake huwaga hawafi haraka!
 
Kiukweli watanzania asilimia kubwa bado hawapo tayari kwaajili ya maandamano japo wamechoshwa na mambo ya CCM.
Ukoo wangu una watu si chini ya 60 hakuna aliyetoka kuandamana.

Wanaharakati waingie field kuja na mpango bora zaidi.
 
Alitakiwa akutane na balozi,kukutana na kaimu wake ni kushusha hadhi ya urais haramu.
Ujaelewa alikutana naye tarehee 8 October sasa December ile picha waliotoa na walivyo vaa si ITV walipost kipindi cha hiyo tarehee nyuma
 
Sijaelewa mada, kwahy hapo tatizo ni lipi
Tatizo ni chombo cha habari kikuu kama Itv kuchapisha habari ya uongo kumuhusu rais wa nchi. Hiyo picha ilipigwa August lakini Itv wametoa mtandaoni kuwa sa100. kakutana na huyo baroz wa Marekani tarehe 8 Desemba.

Pia taarifa ya habari ya habari jana wakatoa video ya machafuko Kenya wakionyesha askari wa huko, ambapo kama ingekuwa hapa isingeonyeshwa, hivyo chombo hiki kinatumika kwa propaganda za watu flan
 
Kwani wakitoa picha ya zamani kutoka maktaba lakini maongezi yamefanyika tarehe 08 Dec 2025 kuna tatizo?
 
labda ni picha kutoka maktaba, kama wamejificha inawezekana hawaruhusu picha ya tukio na mahli kupigwa, ...
 
Kwani wakitoa picha ya zamani kutoka maktaba lakini maongezi yamefanyika tarehe 08 Dec 2025 kuna tatizo?
Sio tukio halisi, labda waseme pichani ilikua tarehe .. August na maongezi mwezi Desemba. Huoni tofauti? Hivyo siku husika walishindwa kupiga picha? Unataka kutetea nini hapa.
 
Watanzania tatizo letu tunapenda miujiza!
Hvi US wadanganye ili kiwe nini?
Ni rahisi ,zaidi kuamini mtu kaongeza tu hapi tarehe juu kupotosha..
Hiki kibibi bado kipo kinapumua wajibu wetu sisi ni kuingia barabarani kupambana nae hakuna shortcut ingine..
Kumbuka wanawake huwaga hawafi haraka!
Sijui kwanini watu wanasahau mapema.....huo uvumi ni propaganda kama propaganda zingine tu!
Mkuu hivi ile movie ya mjenda wa Marekani mwenye mabomu ya bendera ya chama iliishaje?
 
Sasa tarehe hiyo si hata mtaalam Poor Brain anaweza kuiongeza hapo juu 🤣🤣

We Great sinker vipi bhana habari zingine acha ziishiage fesibuku huko
 
Sio tukio halisi, labda waseme pichani ilikua tarehe .. August na maongezi mwezi Desemba. Huoni tofauti? Hivyo siku husika walishindwa kupiga picha? Unataka kutetea nini hapa.
Kwa hiyo wewe unakataa kuwa hawakufanya hayo maongezi tarehe 8 Dec 2025 kwa sababu ya hizo picha za ITV? Si ukaangalie kwenye website ya US Embassy ili ujihakikishie kama ni kweli?
 
Hiyo sio kaz yangu, hoja hapa ni kupindisha habari na tukio. Unataka kutetea nini hapa? Fuatilia wewe mtetezi wa hii kitu utuletee hiyo picha walioshindwa kuipata hiyo tarehe 8 Dec.
 
AI
Juzi ubalozi wa Marekani ulisema umekutana na Rais.

Kwenye page ya ITV ubalozi ulikutana naye Oktoba 8.

Nani anaficha ukweli.

View attachment 3513779
Hii picha waliotoa angalia
View attachment 3513781
AI inasema:

The President of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, met with the Acting United States Ambassador to Tanzania, Andrew Lentz, at Chamwino State House in Dodoma on Monday, December 8, 2025.

The meeting focused on strengthening bilateral cooperation, prioritizing shared growth over aid dependency, and advancing key strategic investment projects. The discussions included finalizing the Liquefied Natural Gas (LNG) project and the Tembo Nickel project.
 
Ai mnaionea sana Si muriro
 
Back
Top Bottom