Naomba kuuliza: Ina maana Ubalozi wa Marekani nao unatudanganya ?

Hiyo sio kaz yangu, hoja hapa ni kupindisha habari na tukio. Unataka kutetea nini hapa? Fuatilia wewe mtetezi wa hii kitu utuletee hiyo picha walioshindwa kuipata hiyo tarehe 8 Dec.
Kazi yako ni ipi sasa?
 
Watu wanatakiwa waachane na propaganda, hiko ki ajuza kinatakiwa kiende ICC au kishuhudie anguko lake akiwa hai. Binafsi sitaki kife mapema bila kulipia mauaji aliyofanya kwa ndugu zetu.
 
Kwani wakitoa picha ya zamani kutoka maktaba lakini maongezi yamefanyika tarehe 08 Dec 2025 kuna tatizo?
KWanini hiyo ya kwenye maktaba walifanikiwa kupiga ila ya 8 Dec walishindwa? Hivi Mtu kama rais akutane na mtu wa US pande zote mbili zikose picha mpaka watumie ya maktaba? Yaani Ikulu wakose picha latest? Really ? Like Seriosly? Guys acheni utani.
 
Duh n noma
 
Tatizo ni ITV siyo Ikulu. Waliotoa hiyo habari ni ITV. Lakini mimi sioni ajabu mbona ni kawaida sana kutumia picha au video zilizoko kwenye maktaba, vyombo vya habari vyote duniani hufanya hivyo.
 
Hiyo sio kaz yangu, hoja hapa ni kupindisha habari na tukio. Unataka kutetea nini hapa? Fuatilia wewe mtetezi wa hii kitu utuletee hiyo picha walioshindwa kuipata hiyo tarehe 8 Dec.
Mbona ni kawaida vyombo vya habari kutumia picha au video kutoka maktaba zao au umeanza kufuatilia habari za vyombo vya habari hivi karibuni mkuu?
 
Kiukweli watanzania asilimia kubwa bado hawapo tayari kwaajili ya maandamano japo wamechoshwa na mambo ya CCM.
Ukoo wangu una watu si chini ya 60 hakuna aliyetoka kuandamana.

Wanaharakati waingie field kuja na mpango bora zaidi.
Ma
Sio familia Yako tu, hata familia ya jf hakuna hata mmoja aliyeandamana humu. Wale wahamasishaji wote hakuna hata mmoja aliyeandamana😄😄😄
They were right here waiting for madhira kwa vijana wawe wa kwanza kuripoti humu na kutoa uchambuzi wao wa upande mmoja Ili apate views za haters wa Samia (I call them fools)
 
Mbona ni kawaida vyombo vya habari kutumia picha au video kutoka maktaba zao au umeanza kufuatilia habari za vyombo vya habari hivi karibuni mkuu?
vya bongo? Inawezekana. Kwa vile vinavyojielewa lazima watoe maelezo ya ziada, mfano kwa kesi hii ungesikia kuwa ''wamekutana Dec 8 pia walikutana August'' Yani habari haitolewi ikining'inia hivyo.
Na wewe unajaribu kutetea nini?
 
vya bongo? Inawezekana. Kwa vile vinavyojielewa lazima watoe maelezo ya ziada, mfano kwa kesi hii ungesikia kuwa ''wamekutana Dec 8 pia walikutana August'' Yani habari haitolewi ikining'inii hivyo.
Na wewe unajaribu kutetea nini?
Hujielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…