Naomba kuuliza Jambo ndugu zangu

Joined
Sep 10, 2019
Posts
17
Reaction score
15
Habarin ndugu zangu kwema?

Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi.

Swali langu mimi ni hivi kwa watu kama hao huwa wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu?

Mfano labda kuota ndoto mbaya katika maono
 
Elewa maana ya neno Mafarisayo nasisitiza "MAFARISAYO"
 
Kiufupi usiingie katika trap ya kuamini ushirikina au kwenda Kwa waganga utapoteza Amani yako na hautoipata and finally you end up broke .


Pray to God and believe in him . wanaoenda Kwa waganga wanajua God is really Ila hawamuamini Mung u its about shit.
 
CC Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…