habari za jioni wadau heri ya mwaka.mpya naomba kuuliza kama nimepata coordinate za eneo usiku kwaajili ya kurasimisha kiwanja changu nawezaje kupata ramani ya mipango miji ya eneo husika na gharama yake kupata ramani ni sh ngapi

Sidhani kama wanaweza kukupatia, ila nisikukatishe tamaa
Ninachojua mimi ni kwamba unaenda kule na coordinates zako, then wenyewe wanaingiza hizo coordinates na kuangalia kiwanja kinaangukia katika eneo gani kimatumizi mfano baada ya kuingiza hizo coordinates kiwanja chako kinaweza kikaangua katika maeneo yaliyopangwa kwa ajili ya makazi, au shule, au soko, au makaburi n.k
Baada ya hilo zoezi wenyewe ndio watakupatia majibu kwamba kiwanja chako kipo kwa ajili ya matumizi gani