Tiririka sasa Mkuu siyo kutudorishia tu......kuna mbinu za kisayansi zinazoweza kupunguza kwa kiasi kikubwa hatari ya kifo cha mapema kwa kuzuia magonjwa yasiyoambukiza kama vile magonjwa ya moyo, kisukari, kiharusi, na saratani. Ni jambo la kawaida kabisa kutafakari kuhusu thamani na mzunguko wa maisha, na kuchukua hatua za makusudi hulinda afya yako kwa miaka mingi.
Ishi maisha yanayompendeza MunguSijachanganyikiwa lakini nimefikiria TU maana sielewi kuishi ni bahati au Kuna Nini.
Mbona Toka kuzaliwa kwangu nimezika na kusikia misiba mingi.
Je? Kuishi ni bahati TU.
Maana kama mabasi nimepanda Sana pikipiki boti kutembea Kwa miguu barabarani kuogelea nk.
Kwanini Bado naishi?
Tunaishi ili tufe, Maisha sio mchezo wa uoga.Kwanini Bado naishi?
Hakuna Faida ya Kifo Jombaa...ni maneno yenye faraja hewa tu.Wafilipi 1.21
Kwa maana kwangu mimi, Kuishi ni Kristo na kufa ni faida.
Unataka kukwepa kifo cha mapema. Hata ukiishi maisha marefu kuna faida gani?Sijachanganyikiwa lakini nimefikiria TU maana sielewi kuishi ni bahati au Kuna Nini.
Mbona Toka kuzaliwa kwangu nimezika na kusikia misiba mingi.
Je? Kuishi ni bahati TU.
Maana kama mabasi nimepanda Sana pikipiki boti kutembea Kwa miguu barabarani kuogelea nk.
Kwanini Bado naishi?
Kaka niaje?Usiogope sana mkuu, anyway j4, j5 kuna mtu ana ingia operation room na sijui ka atatoka.