Lio 002 JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 436 Reaction score 68 Dec 7, 2014 #1 Habar wana jf, ninaomba kuuliza unapotumia kondomu wakati wa kufanya mapenz na mwenza wako jee unapunguza uwezekano wa kupata ukimwi au kama msichana ana ukimwi na ww pia waweza kuupata hata kama ulitumia kondom? Nasubir majibu yenu,nashukuru saana
Habar wana jf, ninaomba kuuliza unapotumia kondomu wakati wa kufanya mapenz na mwenza wako jee unapunguza uwezekano wa kupata ukimwi au kama msichana ana ukimwi na ww pia waweza kuupata hata kama ulitumia kondom? Nasubir majibu yenu,nashukuru saana
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Dec 7, 2014 #2 Aisee unaupata........kwanza imesemekana japo inafichwa.......kwamba........kondomu binafsi inayo ukimwi..........chunga sana........
Aisee unaupata........kwanza imesemekana japo inafichwa.......kwamba........kondomu binafsi inayo ukimwi..........chunga sana........
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Dec 7, 2014 #3 Kwa namna uulizavyo utakuwa umekutwa na bwana pepsi weye...
Lio 002 JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 436 Reaction score 68 Dec 7, 2014 Thread starter #4 Preta said: Aisee unaupata........kwanza imesemekana japo inafichwa.......kwamba........kondomu binafsi inayo ukimwi..........chunga sana........ Click to expand... Duuu basi mbna watatuuwa hawa
Preta said: Aisee unaupata........kwanza imesemekana japo inafichwa.......kwamba........kondomu binafsi inayo ukimwi..........chunga sana........ Click to expand... Duuu basi mbna watatuuwa hawa