Habar wana jf, ninaomba kuuliza unapotumia kondomu wakati wa kufanya mapenz na mwenza wako jee unapunguza uwezekano wa kupata ukimwi au kama msichana ana ukimwi na ww pia waweza kuupata hata kama ulitumia kondom?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.