Naomba kuuliza Kuhusu Condom

Naomba kuuliza Kuhusu Condom

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana jf, ninaomba kuuliza unapotumia kondomu wakati wa kufanya mapenz na mwenza wako jee unapunguza uwezekano wa kupata ukimwi au kama msichana ana ukimwi na ww pia waweza kuupata hata kama ulitumia kondom?

Nasubir majibu yenu,nashukuru saana
 
Aisee unaupata........kwanza imesemekana japo inafichwa.......kwamba........kondomu binafsi inayo ukimwi..........chunga sana........
 
Kwa namna uulizavyo utakuwa umekutwa na bwana pepsi weye...
 
Aisee unaupata........kwanza imesemekana japo inafichwa.......kwamba........kondomu binafsi inayo ukimwi..........chunga sana........

Duuu basi mbna watatuuwa hawa
 
Back
Top Bottom