Wakuu naomba mnisaidie sehemu za kupata field ya mtu aliesomea kozi ya International Relations and Diplomacy, kwasababu nahangaika Hadi now sijapata field, yaani duuuuh!!!! π€
0787044620 my number
Nenda wizara ya mambo ya nje au ofisi za kibalozi. Kama field tu ni shida hivi je kazi? Anyway majaliwa Kesha tupa jibu, Ukimaliza hiyo degree yako nenda veta.
Wakuu naomba mnisaidie sehemu za kupata field ya mtu aliesomea kozi ya International Relations and Diplomacy, kwasababu nahangaika Hadi now sijapata field, yaani duuuuh!!!! π€
0787044620 my number
1. Balozi za Nchi za Kigeni
2. Mashirika ya Kimataifa
Mfano. Mashirika kama Umoja wa Mataifa (UN), Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)
3. Mashirika Yasiyo ya Serikali (NGOs)
zinazo deal na masuala ya haki za binadamu, maendeleo ya jamii, na uhusiano wa kimataifa
4. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
5. Kituo cha biashara na uwekezaji
6. Ccm
7. Airports