Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
Habari zenu wakubwa kwa wadogo.
Najua nafasi za kujitolea hazinaga mshahara ila baadhi ya mashirika au taasisi huwa wanatoa walau pesa ya nauli na chakula
Je kuna mtu yeyote humu kashawahi kujitolea kwenye hili shirika la MDH
Mana ingawa hakuna mshahara ila ni vyema nikajua kama wanatoa walau hata nauli na hela ya msosi
Asanteni kwa mtakaonijuza