Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
Shukrani sanaNdugu pale kama una ndugu unayemfahamu sawa jilipue ila kama hakuna wala usipoteze muda wako
Mi niko napiga nao kazi niko mkoa wa Tabora sio siri hawa hawana longo longo kama uko vizuri, kwa anae jitolea kwa mwezi anapata mia Nne na nauli juu so kama una qualification hasa ktk issue za Afyaa we nenda ofisini kaombe kujitoleaaHabari zenu wakubwa kwa wadogo
Najua nafasi za kujitolea hazinaga mshahara ila baadhi ya mashirika au taasisi huwa wanatoa walau pesa ya nauli na chakula
Je kuna mtu yeyote humu kashawahi kujitolea kwenye hili shirika la MDH
Mana ingawa hakuna mshahara ila ni vyema nikajua kama wanatoa walau hata nauli na hela ya msosi
Asanteni kwa mtakaonijuza
Uko Tabora hospital ama zahanati ipi?Mi niko napiga nao kazi niko mkoa wa Tabora sio siri hawa hawana longo longo kama uko vizuri, kwa anae jutolea kwa mwezi anapata mia Nne na nauli juu so kama una qualification hasa ktk issue za Afyaa we nenda ofisini kaombe kujitoleaa
Kwa mtu wa levo ipi anapewa 400k?Mi niko napiga nao kazi niko mkoa wa Tabora sio siri hawa hawana longo longo kama uko vizuri, kwa anae jitolea kwa mwezi anapata mia Nne na nauli juu so kama una qualification hasa ktk issue za Afyaa we nenda ofisini kaombe kujitoleaa