kwenye zebra hutakiwi pita kasi unless kama uliona hakuna wavukaji kama walikwepo ndo chanzo cha ww kupigwa fainiYaani nataka nijue sheria inamruhusu kunilima offence mbili??? Yaani kama hairuhusu nataka nimrudie siwez muacha ila kama inamruhusu nataka nijue pia
Hapana anakuonea. Hakuna speed ya kupita kwenye Zebra crossing. Ila kama hapo kwenye Zebra Crossing kuna alama ya STOP, ulitakiwa usimame. Kwa hiyo makosa mawili itakuwa ni kwenda 90km/hr kwenye eneo la 50km/hr, na kutosimama kwenye Zebra Crossing yenye alama ya STOP. Kama hiyo Zebra Cossing haina alama ya STOP kosa lako ni moja tuNiliingia kwa 50km ph nikiwa na 90 km per hour na kawaida kwenye fifty Kuna pundamilia, Sasa trafiki aliponikamata sikutaka kutoa hela kwa sababu nilikuwa na elfu 4 tuu kwa mfuko, pia kawaida Sina tabia ya kubembeleza especially mwanaume mwenzangu mostly huwa natoa elfu kumi either aichukue hiyo ya viatu au aniandikie fine! Sasa huyu trafik akanipa offence mbili kwamba nimeingia kwa fifty overspending pia nimepita kwa zebra overspeed, Sasa swali langu huyu trafik alikuwa na haki ya kunipa offence mbili kisheria??? Naomba mnijulishe wadau.
kwenye zebra hutakiwi pita kasi unless kama uliona hakuna wavukaji kama walikwepo ndo chanzo cha ww kupigwa faini
Alitakiwa akuandikie kosa la tatu la kutokuwa raia wa Tanzania, la nne kutumia kiswahili kibovu na la tano kutokua timamu kiakili kwa kuendesha mwendo wa nchi jirani ndani ya Jamhuri yetu!Niliingia kwa 50km ph nikiwa na 90 km per hour na kawaida kwenye fifty Kuna pundamilia, Sasa trafiki aliponikamata sikutaka kutoa hela kwa sababu nilikuwa na elfu 4 tuu kwa mfuko, pia kawaida Sina tabia ya kubembeleza especially mwanaume mwenzangu mostly huwa natoa elfu kumi either aichukue hiyo ya viatu au aniandikie fine! Sasa huyu trafik akanipa offence mbili kwamba nimeingia kwa fifty overspending pia nimepita kwa zebra overspeed, Sasa swali langu huyu trafik alikuwa na haki ya kunipa offence mbili kisheria??? Naomba mnijulishe wadau.
rafiki alikukomoa tu. hapo kosa ni moja tu la overspeeding. na kama alama ya stop haikuwepo kusimama ni judgement kama kuna mtu anaovuka lazima usimame ila kama hakuna unapunguza tu mwendo halfu unaondoka! mrudie au nenda kwa mkuu wa traffic wa wilaya ama mkoa ulipo! complain! hiyo 30 ingine ataitema mwenyewe!!Hakuna wavukaji waliokuwepo pia ile zebra siyo zile zilizoandikwa stop, halaf ni 50 fupi na ni kijijini kabisa hakuna movements nyingi za watu kwa wakati ule niliokuwa napita!
Gari lako ndo hilo kwenye avatar π€Nope sipo hapo, ila hilo eneo huwa napita sana! Don't know why he did that! Unajua sometimes unaweza ukawa una beef na mtu kumbe ww hujui, ndo maana nikauliza angle ya kisheria ikoje .