Naomba kuuliza kuhusu trafik offence

Naomba kuuliza kuhusu trafik offence

Goldman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
1,930
Reaction score
2,401
Niliingia kwa 50km ph nikiwa na 90 km per hour na kawaida kwenye fifty Kuna pundamilia, Sasa trafiki aliponikamata sikutaka kutoa hela kwa sababu nilikuwa na elfu 4 tuu kwa mfuko, pia kawaida Sina tabia ya kubembeleza especially mwanaume mwenzangu mostly huwa natoa elfu kumi either aichukue hiyo ya viatu au aniandikie fine! Sasa huyu trafik akanipa offence mbili kwamba nimeingia kwa fifty overspending pia nimepita kwa zebra overspeed, Sasa swali langu huyu trafik alikuwa na haki ya kunipa offence mbili kisheria??? Naomba mnijulishe wadau.
 
Yaani nataka nijue sheria inamruhusu kunilima offence mbili??? Yaani kama hairuhusu nataka nimrudie siwez muacha ila kama inamruhusu nataka nijue pia
 
kwenye zebra hutakiwi pita kasi unless kama uliona hakuna wavukaji kama walikwepo ndo chanzo cha ww kupigwa faini
 
Unatakiwa ukaribie zebra na <30kph. Na eneo la 50kph unatakiwa ulikaribie kabla ya kuliingia kwa <50kph
 
Niliingia kwa 50km ph nikiwa na 90 km per hour na kawaida kwenye fifty Kuna pundamilia, Sasa trafiki aliponikamata sikutaka kutoa hela kwa sababu nilikuwa na elfu 4 tuu kwa mfuko, pia kawaida Sina tabia ya kubembeleza especially mwanaume mwenzangu mostly huwa natoa elfu kumi either aichukue hiyo ya viatu au aniandikie fine! Sasa huyu trafik akanipa offence mbili kwamba nimeingia kwa fifty overspending pia nimepita kwa zebra overspeed, Sasa swali langu huyu trafik alikuwa na haki ya kunipa offence mbili kisheria??? Naomba mnijulishe wadau.
Hapana anakuonea. Hakuna speed ya kupita kwenye Zebra crossing. Ila kama hapo kwenye Zebra Crossing kuna alama ya STOP, ulitakiwa usimame. Kwa hiyo makosa mawili itakuwa ni kwenda 90km/hr kwenye eneo la 50km/hr, na kutosimama kwenye Zebra Crossing yenye alama ya STOP. Kama hiyo Zebra Cossing haina alama ya STOP kosa lako ni moja tu
 
kwenye zebra hutakiwi pita kasi unless kama uliona hakuna wavukaji kama walikwepo ndo chanzo cha ww kupigwa faini

Hakuna wavukaji waliokuwepo pia ile zebra siyo zile zilizoandikwa stop, halaf ni 50 fupi na ni kijijini kabisa hakuna movements nyingi za watu kwa wakati ule niliokuwa napita!
 
Kama una ubavu wa mucheza na muda cheza na huyo askali maana hapo anasoma kama dish linayumba ili atege station.

Ila askali wetu kwa sasa wametumwa pesa so nenda huku ukijua hilo.
 
Niliingia kwa 50km ph nikiwa na 90 km per hour na kawaida kwenye fifty Kuna pundamilia, Sasa trafiki aliponikamata sikutaka kutoa hela kwa sababu nilikuwa na elfu 4 tuu kwa mfuko, pia kawaida Sina tabia ya kubembeleza especially mwanaume mwenzangu mostly huwa natoa elfu kumi either aichukue hiyo ya viatu au aniandikie fine! Sasa huyu trafik akanipa offence mbili kwamba nimeingia kwa fifty overspending pia nimepita kwa zebra overspeed, Sasa swali langu huyu trafik alikuwa na haki ya kunipa offence mbili kisheria??? Naomba mnijulishe wadau.
Alitakiwa akuandikie kosa la tatu la kutokuwa raia wa Tanzania, la nne kutumia kiswahili kibovu na la tano kutokua timamu kiakili kwa kuendesha mwendo wa nchi jirani ndani ya Jamhuri yetu!
 
Una makosa mawili kavu brother.
1.Overspeeding
2.Ulikuja kwa zebra bila tahadhari yeyote. Cz sio lazima kusimama zebra kama hakujaandikwa stop bt watakiwa kupunguza speed pale ili kuchukua tahadhar kwa lolote.
Pia ingetakiwa akupige hata la tatu la kukuonea cz ulikuwa na nia ovu ya kumkamatisha Rushwa.
Ni hayo tu MAENDELEO HAYANA CHAMA
 
Hakuna wavukaji waliokuwepo pia ile zebra siyo zile zilizoandikwa stop, halaf ni 50 fupi na ni kijijini kabisa hakuna movements nyingi za watu kwa wakati ule niliokuwa napita!
rafiki alikukomoa tu. hapo kosa ni moja tu la overspeeding. na kama alama ya stop haikuwepo kusimama ni judgement kama kuna mtu anaovuka lazima usimame ila kama hakuna unapunguza tu mwendo halfu unaondoka! mrudie au nenda kwa mkuu wa traffic wa wilaya ama mkoa ulipo! complain! hiyo 30 ingine ataitema mwenyewe!!
 
Kwahyo bado mpo hapo,.. unasubiria la kufanya

Nope sipo hapo, ila hilo eneo huwa napita sana! Don't know why he did that! Unajua sometimes unaweza ukawa una beef na mtu kumbe ww hujui, ndo maana nikauliza angle ya kisheria ikoje .
 
Gari lako ndo hilo kwenye avatar 🤗
 
Mleta mada, trafiki yuko sahihi kwa alichofanya. Sheria ya makosa barabarani haizuii kupigwa makosa mawili katika tukio moja.
Mbona mtu anashtakiwa kwa utakatishaji na kukwepa Kodi katika tukio moja? Jiongeze kalipe faini. Na ole wako ukutwe na camera sensor Kama hijalipa, gari utaacha central. 😀😀😀😀
 
Mi nna bifu na trafiki kuna mmoja alijipendekeza ana bahati aliwai kuniomba ya ku brashia tifu likaisha ila nili plani aniandikie kile kikaratasi alafu na mimi nikamshugulikie nnavyojua manake kile kikaratasi kina taarifa zake za muhimu sana ambazo naweza kuzitumia kum fix bila yeye kujua nani ame m fix
 
Back
Top Bottom